......ukiugua miezi 6 wakusaidie pia?
wewe noumaaa shem kaaaaah!
Hizo sababu si stahiki kupelekea sisi waume kuoa.wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa
hahahahahaha mwanamke akifanya anaambiwa malaya tena ana tabia mbaya jamani hawa wanaume hawa. Hivi si kuna maduka ya urembo mume anaweza kumpeleka mkewe akajichagulia manukato mazuri na hata kufundishwa namna ya kutumia. Lkn kinachowaponza wanaume hawa ni kuacha mezani pesa kidogo tena hata haitoshi budget ya ndani. Mwisho anakuja na hoja ya kwenda nje ambako akifika anaweka laki 2 mezani na bill zingine analipia . Anashindwa kuelewa kua huo urembo anaouona ni yeye ndiye anaegharamia lol.
wanaume mna sababu na nyie mkiota
vitambi ruksa mke kua na asie na kitambi
kama humpi mkeo hela ya mafuta wala manukato
unataka anukie kwa kujipaka korie?mikia tu inawasumbua!!
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa
Huwa nasikitika sana nionapo mwanaume mwenzangu mwenye mawazo yaliyo na fikra kama za mleta mada...
Kitabu changu cha imani kinabainisha ya kwamba, "aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake ye mwenyewe"...