sababu za wanaume kuongeza mke

kamati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
240
109
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa
 
Kipofu alipata wasaa wa kuona, akaona ng'ombe mara moja afu akawa kipofu tena.

Basi watu wakisema, lile samtrela kuubwa, yeye anauliza, kubwa kama ng'ombe?
Hawa wakisema aisee Burj Khalifa kubwa, na kipofu anauliza, kubwa kama ng'ombe

Go figure...
 
kweli hizo ni sababu tosha.
Pia mke akienda safari, ruhsa
na mke akimbania mumewe, ruhsa
Mke kama havutii tena ruhsa
na mke akiwa mjehuri ruhsa
au kama anaspend muda mwingi na watoto
sababu halali ni nyingi sana.
basi tu wanawake hatuna uelewa
 
huo ni umalaya tuu, kama hana mvuto ulimuoaje na ulimuoa ili iwe nini? kama unaona miez mitatu mingi, usioe bali zunguka kwa wale madada poa..!:faint::faint::A S-fire1:
 
Nakubaliana na mdau pale juu kuhusu sababu alizozitoa kuhusu kuongeza mke wa pili (kufuata taratibu lakini). Labda ni jikite kwenye hoja ya upande wa pili kuhusu wanawake nao kuwa na kidumu pembeni.

Kiafya sio salama na ni hatari kwa mwanamke kua na kidumu, kisanyansi ni kwamba manii ya mwanaume hayana maradhi kwa wanawake zaidi ya mmoja wanaochangia dushelele moja kwa uaminifu.

Lakini mwanamke ambae anachangia mwanaume zaidi ya mmoja anaweza akaathirika kiafya kupitia manii tofauti toufauti yatakayokua yanamchoma (Kwa wale wanaofanya mapenzi sio salama kama tunavyoita) japokua mimi na amini hakuna mapenzi salama kama nyote sio waaminifu.
 
mbona hamna cha msingi hata kimoja ulichoandika hapo...?
halafu unajaribu kuhalalisha mambo yasiyo na msingi
 
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa
Hizo sababu si stahiki kupelekea sisi waume kuoa.

Msingi ni kuhakikisha mkeo anakupa soap-soap kama wale wadada uwaonao mtaani. Mpendezeshe uone!
 
Huwa nasikitika sana nionapo mwanaume mwenzangu mwenye mawazo yaliyo na fikra kama za mleta mada...
Kitabu changu cha imani kinabainisha ya kwamba, "aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake ye mwenyewe"...
 
Hizo sababu ulizotoa kama kweli ndio sababu zinazowafanya watafute mbadala mimi naona hazina mashiko.

  • Sababu ya kwanza umesema ya uchafu; Hivi huyo mama ameanza uchafu lini je ni baada tu ya kumuoa au. Kama ni baada tu ya kumuoa mbona hili linarekebishika tu iwapo unampenda kwanini usimwambie na kumsaidia kidogokidogo kujifunza usafi kumbuka ukiona vyaelea vimeundwa. Na uchafu sio kilema muhusika anaweza kuadjust kwa kusaidiwa na hili linawezekana likifanywa kwa upendo.
  • Pili umetoa sababu ya ujauzito; aaaaaah hiii bwana ata sio haki basi ikiwa vipi msizae au unaonaje. Kwani ujauzioto kwa mwanamke ni kosa mbona ni matokeo ya starehe ya wote wawili. Sasa una amua kumuadhibu mkeo kwa sababu hii. Ikiwa hivi basi kizazi cha dot com mna safari ndefu aisee.
 
wanaume mna sababu na nyie mkiota
vitambi ruksa mke kua na asie na kitambi
kama humpi mkeo hela ya mafuta wala manukato
unataka anukie kwa kujipaka korie?mikia tu inawasumbua!!
hahahahahaha mwanamke akifanya anaambiwa malaya tena ana tabia mbaya jamani hawa wanaume hawa. Hivi si kuna maduka ya urembo mume anaweza kumpeleka mkewe akajichagulia manukato mazuri na hata kufundishwa namna ya kutumia. Lkn kinachowaponza wanaume hawa ni kuacha mezani pesa kidogo tena hata haitoshi budget ya ndani. Mwisho anakuja na hoja ya kwenda nje ambako akifika anaweka laki 2 mezani na bill zingine analipia . Anashindwa kuelewa kua huo urembo anaouona ni yeye ndiye anaegharamia lol.
 
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa

Mkuu kwa sababu ulizotoa hapa ni dhahiri hujaoa! Hizi sababu asilani haziwezi kumtoa mtu nje ya ndoa yake; mke akifungua daima furaha siyo kero, kama hajijali akiwa hm ujue na ww uko rough vile vile. Kwa sisi tulioowa na kujaliwa watoto, hizi sababu haziwezi kusababisha utoke nje ndoa!
 
Huwa nasikitika sana nionapo mwanaume mwenzangu mwenye mawazo yaliyo na fikra kama za mleta mada...
Kitabu changu cha imani kinabainisha ya kwamba, "aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake ye mwenyewe"...

Tena hiyo iliandikwa zamani hizo kabla hata wazo la ukimwi halijakuwepo duniani, je sasa kipindi hiki cha ukimwi si ni kutokomeza kabisa nafsi?
 
wengine wakitoka nje wanapewa 0713......kwa hiyo wanaamua kuvuta kitu ndani kabisa!
 
Wanawake wengine wanaudhi ndio maana wanaume wanaoka nje kujaribu different test na kupunguza stress
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom