meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
pia ni mkwe wa mtuhumiwa wa ufisadi na genge lake kama Laurance Masha,RA,Hamisi Mgeja, na wadau wa Rose Garden!
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.
Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.
hivyo hivyo EL pasi na mtoto wake kua kaolewa na siyoi yeye pia ni mmeru for your info
wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!hivyo hivyo EL pasi na mtoto wake kua kaolewa na siyoi yeye pia ni mmeru for your info
nasari anafahamika na anajichanganya na wananchi.anajua kimeru.Mkuu hawajasema kuwa Nassari, anaishi Marekani uwa anakuja Tanzania kipindi cha uchaguzi tu?
sarakikya anakubalika lakini c c m wamemtosa!Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.
Huu ndio ujinga unaozidi kumpa umaarufu Lowasa, maana kuna watu wanawashwa bila kumtaja Lowasa.pia ni mkwe wa mtuhumiwa wa ufisadi na genge lake kama Laurance Masha,RA,Hamisi Mgeja, na wadau wa Rose Garden!
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.