Sababu za Rais kuchelewa kuchukua Maamuzi

Sababu za Rais kuchelewa kuchukua Maamuzi

maskini watanzania mnao hangaika kujenga propaganda kwenye mitandao na magazeti yenu kutuhumu serikali nawaombeni fanyeni kazi zenu mtakuwa wajinga wa akili
 
Sababu kuu ni kwamba yeye mwenyewe ndiye mastermind na kuna mpaka ndugu zake aliowapachika Ikulu wanahusika.

Zamani watu tulikuwa tunawashangaa Mobutu, Abacha na waaina hiyo kupiga dili kwenye nchi wanazoziongoza wakishirikisha ndugu zao, leo huo mshangao umeangukia nyumbani.
Hii kashfa kuna watu wanaiona ndogo na kwamba CCM na serikali yake wanaweza kuizima kwa mamlaka waliyo nayo. Mie nasema wanajidanganya maana zipo kashfa ambazo tumeona nchi zingine zikishughulikiwa baada ya viongozi wahusika kuondoka madarakani tena hapo ni kwa ukali zaidi.
Kama yeye ndiye Mastermind ya mchezo huo asipo chukua hatua sasa hivi namwonea huruma kwani anatafuta mashaka badala ya kupumzika kwa amani muda ukiisha.
 
Kikwete kapiga hela kubwa watu wakija kushtuka watazimia.

Kuna watu wanachumba mafuta Mtwara mwaka wa pili huu.

Pipeline kutoka Mtwara nalo limekuwa inflated by about 1 billion USD.

Of you put thisbin perspective hizo hela za IPTL ni "vijisenti tu" kama alivyojisemea Chenge.
 
Unamuongelea Rais wa nchi kuwa kachelewa kufanya maamuzi kwa sababu hizi???!!
Rais wa nchi??!!!!
 
Anatangaza Hatua atakazowachukulia leo uwanja WA taifa. Mumsikilize kwa makini tu.

Sawa mkuu ngoja tusikie. naona wazee wako uwanjani muda huu huenda akatema nyongo
 
Unamuongelea Rais wa nchi kuwa kachelewa kufanya maamuzi kwa sababu hizi???!!
Rais wa nchi??!!!!

Rais hufanya kazi kwa kushauriwa. Kwa hiyo katika sula la ESCROW maamuzi yake yanategemea sana anavyoshauriwa na watu wake wa karibu.
 
Mtangoja sana!

na wewe unajiweka wapi? au mwenzetu sio mtanzania? sisi watanzania wazalendo wa nchi hii tutaendelea kungoja hadi Rais atakapochukua hatua za kuwatimua mafisadi na vyombo vya usalama vikiwachukulia hatua za kisheria.
 
Kikwete kapiga hela kubwa watu wakija kushtuka watazimia.

Kuna watu wanachumba mafuta Mtwara mwaka wa pili huu.

Pipeline kutoka Mtwara nalo limekuwa inflated by about 1 billion USD.

Of you put thisbin perspective hizo hela za IPTL ni "vijisenti tu" kama alivyojisemea Chenge.
Kama alivyoahidi wakati anaingia madarakani, ni kweli ametengeneza mabilionea. Suala la kuwa wengi wa mabilionea hao ni watu walio karibu naye nadhani sio la kulaumu sana maana yeye mwenyewe nakumbuka katika hotuba zake aliwahi kusema kuwa "kama huna mjomba basi jijombeshe"!
Kuna baadhi ya beneficiaries wa awamu hii tena wasio karibu sana na 'kisima' yaani ukiwaangalia maisha wanayoishi kuanzia nyumba, magari nk huwezi amini kama wanaishi hapa tz! Nami naungana nawe kuwa hizi 310b kwa hali halisi iliyopo sio ajabu ni sawa na mtu ambaye keshafanya shopping supermarket alafu wakati anatoka pale kaunta anaona pipi na big G za watoto na kuamua kuzibeba!
Tungeliangalia kuwa wanaopaswa kuchukuliwa hatua wengi wanaelewa tena sana maana ya kuwajibika lakini wamekataa mpaka mama Makanda alisikitika kwa hilo. Je, ni kwa nini wagome kijiudhuru wenyewe mpaka kumpa rais wakati huu mgumu!?

uwezo wa kufikiri kwa watanzania zaidi ya 85% ni mdogo sana. Sehemu kubwa ya fikra zao ni kula na starehe wengi hawana mda wa kujishughulisha kujua mengine zaidi ya kula kwao.....

Wenye akili kubwa ni wachache sana na ndio huibua mambo mazito but kwa kuzungukwa na kundi kubwa la wafu wanaotembea hujikuta wanaishiwa nguvu katikati baada ya maamuzi ya zimamoto....

Hii hali ya uduni wa akili umefika mpaka ngazi za juu ambapo hata watu duni sana kifikra wanakuwa mawaziri na wafanya maamuzi.....

Leo mtanzania anafurahia kujiuzulu kwa waziri lakini hajipi muda wa kutaka hatua zaidi na hii inagharimu nchi miaka nenda rudi....

Kundi kubwa la vijana wanaotegemewa kwa mageuzi ndio hawa ambao kabla hata ya 35 years wameridhika na maisha na 90% ya maisha yao ni starehe.....

salute
 
sababu ya jk kutochukua maamuzi kuhusu escrow ni
yeye pia yeye na familia yake wamechukua fedha nyingi tu ktk hiyo escrow.....
jk ndye rais wa tz aliyepigaaaa hela ndefu ktk historia ya marais tanzania
 
Sina uhakika kama ulikuwepo awamu ya kwanza ya uongozi Tanzania lakini neno ambalo mwalimu alikuwa anapenda kulitumia kwa watu wote aliokuwa anawafukuza kazi ni "amestaafishwa kwa manufaa ya umma." Hiyo inatosha kwa jk kuwatimua hawa manyang'au ambao bado wanatumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao.

Hiyo ilimgharimu mkapa alipostaafisha mapolisi hukumbuki mjomba mbona wa tz wepesi kusahau
 
Nadhani anashauriana na UKAWA kama watampa mawaziri kwani kisingizio kuwa ndani ya CCM hakuna ili awapake matope. Jusy yhinking aloud

Mbowe awe gavana wa benki kuu.mengi awe waziri wa nishati na madini na mkono awe waziri wa sheria endeka awe waziri wa mali asili na utalii
 
Kila anayefikiri kwa kutumia kichwa hawezi kuamini kuwa hii kitu haikuchezwa Ikulu. Maneno meengi mnajaza tu, ila conclusion ya wengi wetu ni kuwa ngoma hii imechezwa ndani ya nyumba kubwa. Hakuna lingine. Mnaweza kutuzuga kina siye ambao kwanza hatuna madhara kwenu. Ila hamuwezi kuwazuga wale mnaoogopana!! Wanajua alpha na omega.
 
Rais hufanya kazi kwa kushauriwa. Kwa hiyo katika sula la ESCROW maamuzi yake yanategemea sana anavyoshauriwa na watu wake wa karibu.

Ushauri upi unazungumzia, pre emptive au remedial??!!!
 
Zamani watu tulikuwa tunawashangaa Mobutu, Abacha na waaina hiyo kupiga dili kwenye nchi wanazoziongoza wakishirikisha ndugu zao, leo huo mshangao umeangukia nyumbani.
Hii kashfa kuna watu wanaiona ndogo na kwamba CCM na serikali yake wanaweza kuizima kwa mamlaka waliyo nayo. Mie nasema wanajidanganya maana zipo kashfa ambazo tumeona nchi zingine zikishughulikiwa baada ya viongozi wahusika kuondoka madarakani tena hapo ni kwa ukali zaidi.
Kama yeye ndiye Mastermind ya mchezo huo asipo chukua hatua sasa hivi namwonea huruma kwani anatafuta mashaka badala ya kupumzika kwa amani muda ukiisha.

Nalo hilo neno; umenikubusha kina Chiluba Wa Zambia, Bakili Muluzi Wa Malawi, Hosni Mubarak Wa Egypt nk..nk inasikitisha sana kuona kwamba wakati mwingine binadamu ama tuna kumbukumbu fupi sana, ni ukorofi au ujinga? Tuna masikio lakini hatusikii! Tuna macho lakini hatuoni! Ni kwa nini lakini?!
 
Ushauri upi unazungumzia, pre emptive au remedial??!!!

Vyovyote uitakavyouita ushauri ni ushauri tu na kumbuka kwa Rais wetu amekumbana na kadhia hii ya ushauri mwingi kutokuwa mzuri. Lakini hoja yangu ya msingi ni kwamba kwa kawaida Rais hufanyia kazi ushauri ule unapotoka kwa watu wake wa karibu sana.. Sasa hapo integemeana watu wake wa karibu wana nia gani na ushauri wanaotoa wakati huo.
 
Back
Top Bottom