Sababu za mtu kujiua!

Sababu za mtu kujiua!

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Kumekuwa na matukio mengi ya watu kujiua either kwa kunywa sumu , kujinyonga, kujichoma kisu au kujipiga risasi...

Tulio hai hatujui ukali wa maumivu wakati wa kukata roho. Hali kadhalika hatujui huko tuendako kukoje. Hata siri ya kaburi hatuijui. Wengi wanahisi, kukisia kutokana na vitabu mbalimbali vya dini, wanasaikolojia, wanasayansi n.k!

Mtu anajua kabisa nikijipiga risasi, napoteza maisha lakini anafanya hivyo.

Haogopi maumivu? Haogopi adhabu ya kifo? Haogopi ahera?!

Mtu huyo anaacha familia, watoto, ndugu, jamaa, mali n.k....lakini anajimaliza mwenyewe.

Najua hapa wapo wataalamu wengi, ni hali gani humtokea mtu katika dakika za mwisho mpaka anaamua kujiua??
 
Mental health ,Depression ,Kuyumba kiuchumi+Stress za Mubebez.
 
Kupata HIV,mikopo,jobless na ugumu wa maisha.

Kweli kuna waliojua kisa tu Grid imesoma.

-John Mjema aka Bomba la mvua

Yes Mikopo Vikoba Vimeua sana.

Jobless+ugumu wa miasha(means kuyumba kiuchumi) means mwanzo ulikuwa mtibwa then ukaja kuyumba hapo unaweza ukajitundika.
 
Kumekuwa na matukio mengi ya watu kujiua either kwa kunywa sumu , kujinyonga, kujichoma kisu au kujipiga risasi...

Tulio hai hatujui ukali wa maumivu wakati wa kukata roho. Hali kadhalika hatujui huko tuendako kukoje. Hata siri ya kaburi hatuijui. Wengi wanahisi, kukisia kutokana na vitabu mbalimbali vya dini, wanasaikolojia, wanasayansi n.k!

Mtu anajua kabisa nikijipiga risasi, napoteza maisha lakini anafanya hivyo.

Haogopi maumivu? Haogopi adhabu ya kifo? Haogopi ahera?!

Mtu huyo anaacha familia, watoto, ndugu, jamaa, mali n.k....lakini anajimaliza mwenyewe.

Najua hapa wapo wataalamu wengi, ni hali gani humtokea mtu katika dakika za mwisho mpaka anaamua kujiua??
Deppression is the matter mkuu, kuna muda mtu anakua na mawazo kiasi kwamba akili yake haisomi anashindwa kukontrol feelings na emotions zake kabisa, kinachobaki labda umkimbilie mungu yeye ndo akusaidie ila mostly wakifika hatua hii hua na mawazo ya kujiua japo yanakua kwa mbali ila kama mtu moyo wake ni fhaifu sana ndo inapelekea kwenda kujitundika.
 
Haya maisha sitajiua ila kwa mambo haya
1.bora nife kuliko kuwa shoga
2.bora nife kuliko kuukana wokovu
 
Mimi naona ni roho ya mauti inamuandama mtu shetani anakuwa kazini
 
Moja Kati ya mood wanazokuwa nazo watu wenye Sonoma ni hasira Sana. Wanakuaga na mawazo ya kudhuru/kujidhuru... Hii inapelekea wanakuaga karibu mno na "suicide ideation".
 
Deppression is the matter mkuu, kuna muda mtu anakua na mawazo kiasi kwamba akili yake haisomi anashindwa kukontrol feelings na emotions zake kabisa, kinachobaki labda umkimbilie mungu yeye ndo akusaidie ila mostly wakifika hatua hii hua na mawazo ya kujiua japo yanakua kwa mbali ila kama mtu moyo wake ni fhaifu sana ndo inapelekea kwenda kujitundika.
Aisee hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom