Sababu za migomo kushamiri hapa Tanzania

Sababu za migomo kushamiri hapa Tanzania

Sikubaliani na wewe kabisa.Kuna watu wanajuwa kila kitu huku duniani mfano hai ni ziara ya Katibu wa CCM..ona vitu alivyokuwa anafanya..unavikumbuka...???ona wabunge wanavyojuwa maisha ya watanzania yalivyo mazuri na kuaminisha ulimwendu TZ hakuna problem..ona wanavyojuwa escrow hakuna pesa ya umma nk...nk.. ona wanvyojuwa uzuri wa kupigia kura ya ndiyo katiba pendekezwa...ona wanavyojuwa jinsi Warioba asivyojuwa sheria.MITIHANI ...
Hiyo ni Burundi ya Nkurunziza aliyekuwa na anayejua kila kitu
leo mpaka watoto wanagoma huyu Rais kujiongezea muda
Haki huwa haitolewi kwa kupenda waacheni Madereva wagome na hao wanaojua km Katibu Mkuu siku itafika mpaka watoto watamjibu km hivi http://www.washingtonpost.com/blogs...d-know-about-the-political-crisis-in-burundi/
imrs.php
 
Back
Top Bottom