Sababu za migomo kushamiri hapa Tanzania

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
WanaJF tujadiliane sababu za msingi za kuongezeka kwa migomo hapa Tanzania na suluhisho zake mana kila kukicha hapiti bila kusikia neno mgomo. Najua humu kuna watumishi wataguswa na hizo sababu na masuluhisho yake wayachukue na kuyafanyia kazi. Baadhi ya migomo tulishawahi kusikia, migomo ya walimu kudai haki zao, madereva, wafanyabiashara, wanafunzi shuleni na vyuoni, wabunge, madiwani, watumishi wa kada mbalimbali n.k.

Nawasilisha
 
Na asubuhi kukikucha inshalaah naskia kuna mgomo wa daladala apa dar..
 
madhara ya demokrasia iliyopitiliza

Attachments

  • 1430682397313.jpg
    1430682397313.jpg
    59.7 KB · Views: 446
Suluhisho.....tumuogope Mungu kwa kufuata aliyotuamrisha na kuacha aliyotukataza,tukifanya hivyo haki kwa wote itapatikana.Bila ya kumtanguliza Mwenyezimungu kwenye mambo yetu tutakuwa hivi hivi daima
 
tutasafiria ndege tu wala haisumbui
 
mgomo ni njia ya kudai haki baada ya majadiliano kushindwa.

kama haki zinazodaiwa ni za msingi kwa nini hazitekelezwi ?
 
jamii imekata tamaa hakuna suluhisho la matatizo yao kwa wakati.
 
madhara ya demokrasia iliyopitiliza

kwa uandishi huu inashiria madereva wengi elimu yao ni darasa la pili. maana hata wanashindwa kuandika hata maneno ya kiswahili, mfano madreva badala ya madereva, inayokizi badala ya inayokidhi. Ni shida Mungu tuokoe na janga la ujinga na ajali barabarani
 
Wakati tunazungumzia dereva makini ajue geometry-inclination,physics-center of gravity,geography-plateau nk wao hata insha ni zero ndio maana tunashindwa kujua tuwalipe kwa elimu gani,waende shule kwanza itasaidia.
 
Yaani leo nimegundua madereva wapo chali/hoi sana kielimu. Ndio maana hata sheria za kawaida kabisa za barabarani kama vile kuto overtake kwenye kona hawazielewi.
 
1. mazungumzo
2. maandamano
3. migomo
4. machafuko
5. mabadiliko
6. maendeleo

ktk harakati hukosi mambo hayo(sio yote)
 
Suluhisho.....tumuogope Mungu kwa kufuata aliyotuamrisha na kuacha aliyotukataza,tukifanya hivyo haki kwa wote itapatikana.Bila ya kumtanguliza Mwenyezimungu kwenye mambo yetu tutakuwa hivi hivi daima

Well said bro!
 
kwa uandishi huu inashiria madereva wengi elimu yao ni darasa la pili. maana hata wanashindwa kuandika hata maneno ya kiswahili, mfano madreva badala ya madereva, inayokizi badala ya inayokidhi. Ni shida Mungu tuokoe na janga la ujinga na ajali barabarani
Yaani leo nimegundua madereva wapo chali/hoi sana kielimu. Ndio maana hata sheria za kawaida kabisa za barabarani kama vile kuto overtake kwenye kona hawazielewi.
Kugoma =Demokrasia
hilo kwanza tukubaliane kuwa kugoma ni uhuru wa Binadamu wote ili kufikisha Ujumbe kwa mhusika
  • Vitabu vya DINI vinaelezea WaIsrael walimgomea Mose na hata Kalebu
  • Vita vya Majimaji vya 1906 - 1907 ni mgomo wa Kilimo cha Pamba na unyanyasaji
  • Mgomo wa China wa Tianamemen na kuuwa Wanafunzi ni mgomo ulioleta mabadiliko
  • Ujerumani Mashariki waliogoma na Nchi zikaunganana ya Maghsribi
Kuhusu Madereva kusoma ni kitu cha ajabu,
la sivyo kila Mtanzania na hao Maprofessor wakarudie darasa la VII ni Elimu gani itakayotolea NIT ambayo itaepusha ajali zitokanazo na Barabara zetu.
Elimu huwa inatolewa kwa kitu kipya km Serikali itatengeneza barabara ngeni au za Fly over ndio mkasomeshe masomo yaleyale
 
Kwa hiyo wewe unafikiri na kuamini kwamba hawa madereva wa mabasi tanzania wanajua kila kitu kuhusu elimu ya udereva? hakuna binadamu anayejua kila kitu kwenye fani yake. Hata maprofessor kwenye fani zao kuna baadhi ya vitu hawavijui na hakuna ubaya kuendelea kusoma zaidi.
hata hivyo madereva hawaping sana kusoma, bali mazingira ya kusoma kama vile ada, usalama wa ajira yao wakiwa masomoni nk.
 
Sikubaliani na wewe kabisa.Kuna watu wanajuwa kila kitu huku duniani mfano hai ni ziara ya Katibu wa CCM..ona vitu alivyokuwa anafanya..unavikumbuka...???ona wabunge wanavyojuwa maisha ya watanzania yalivyo mazuri na kuaminisha ulimwendu TZ hakuna problem..ona wanavyojuwa escrow hakuna pesa ya umma nk...nk.. ona wanvyojuwa uzuri wa kupigia kura ya ndiyo katiba pendekezwa...ona wanavyojuwa jinsi Warioba asivyojuwa sheria.MITIHANI ...
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Wasipogoma mwaka huu wa uchaguzi, mwakani sahauni kabisa kugoma. Watapigwaje........
 
Sikubaliani na wewe kabisa.Kuna watu wanajuwa kila kitu huku duniani mfano hai ni ziara ya Katibu wa CCM..ona vitu alivyokuwa anafanya..unavikumbuka...???ona wabunge wanavyojuwa maisha ya watanzania yalivyo mazuri na kuaminisha ulimwendu TZ hakuna problem..ona wanavyojuwa escrow hakuna pesa ya umma nk...nk.. ona wanvyojuwa uzuri wa kupigia kura ya ndiyo katiba pendekezwa...ona wanavyojuwa jinsi Warioba asivyojuwa sheria.MITIHANI ...

Kumbe unazungumizia ujuzi kwenye fani hizo? kweli duniani kuna fani nyingi na ujuzi mwingi
 
Back
Top Bottom