NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
MAMBO yanayosababisha baadhi ya makundi ya whasapp kufa. (Inaweza ikawauma wengine lakini ndio ukweli)
1. Mtu anaweza akatoa mada na hakuna mtu akachangia na wakati huo huo mtu mwingine akatoa wazo watu wakachangia faster. Je kuna watu wana umuhimu kuliko watu wengine?
2. Kutokujibu salamu hasa hasa pale aliyetoa siyo rafiki yako. ....ubaguzi!
3. Baadhi ya watu katika kundi hujifanya ni zaidi ya wengine hata kudharau wengine.
4. Baadhi ya watu katika kundi ni viburi na wajivuni...wapo katika kundi lakini hawachangii wala kuunga mkono na wakati wao wakisema jambo, wanataka wengine wote kukubaliana na maoni yao.
5. Baadhi ya watu hawachangii jambo lolote la msingi isipokuwa vichekesho na vituko tu!
6. Baadhi ya watu hawajui jinsi ya kuzungumza.
7. Baadhi ya watu wanapapara na rikaka...hawatulizi bolu
8.Wengine hawachangii chochote ila kazi yao ni kuja na mitazamo hasi tu.
9. Baadhi ya wanachama wapo wapo tu yaani kama wasimamia au kutazama mechi ya mpira wa miguu.
Naomba Mungu alilinde kundi hili kwa kuwabadilisha wenye tabia hizi... AMEN