MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Hivi unafahamu Philemon ni mwajiriwa wa LOWASSA? huyu anawazugeni tu! LEMA ndiye mbunge mteule wa Arusha!Tukutane pale chini ya hoteli ya Palace au kule Ikweta tusubiri kumbeba Monaban

Unahangaikia nini wakati picha hii hapa? View attachment 291570
Wewe endelea kujiongopea wenye macho wameona na masikio wanasikia nasubiri hiyo siku ya kutumia viwanja vyenu maana mama samia alivikimbia na kwenda kuhutubia uchochoroni lowasa ndio rais Wa Tanzania akuna mwingineSiku ya kutumia kiwanja inakuja sasa hivi ni mtaa kwa mtaa.
Kaa kwenye keyboard uandike usiyoyajua.
Nimeleta hoja hamjibu mnaishia kusema ccm haipo Arusha.tarehe 26 asijitokeze mtu kulalamikia matokeo.
Ni wazi lema alikuwa na mvuto wa kipekee katika siasa zilizoijenga chadema kiasi cha kuonekana na Lowassa na Sumaye.
Mapokezi ya lema Arusha baada ya kushinda kesi ya uchaguzi ni mapokezi makubwa kuliko hata ya marais wa marekani waliofika Arusha.
lema alipendwa lakini zipo sababu kadhaa zinazofanya aanguke mwaka huu.
1-Ni kuhusu ahadi zake kwa wananchi.
lema aliahidi mengi lakini makubwa ni kuhusu kufufua na kurejesha kiwanda cha general tyre,Kujenga machinga complex,kujenga hospitali ya manispaa ya Arusha ambapo baadae alibadili na kusema hospitali ya mama na mtoto,kutetea wakazi wa kaloleni wasihamishwe kwenye kota za kaloleni bila fidia,kuboresha miundo mbinu ya soko la kilombero na kuirejesha timu ya AFC.hizi ni baadhi ya ahadi za lema.
kimsingi hakuna alichotekeleza na badala yake anaegemea kwenye mgongo wa kazi na mipango ya ccm Arusha kama vile ujenzi wa barabara za mjini na kupanda kwa mapato.
2-Ni kuhusu kuungwa mkono na wafanyabiashara wadogo ambao wengi sio wapiga kura wa Arusha mjini.
Pia hapa nieleze kuwa baada ya ujio wa lema wafanyabiashara wakubwa wamepoteza sana kutokana na vurugu au kunyimwa fursa.lema hana ushawishi wa kibunge wa kutengeneza fursa za kiuwekezaji au kibiashara.
3-kuzorota kwa biashara ya utalii.Ni wazi kuwa iwe kwa makusudi ya ccm ama kwa vyovyote vile ni wazi kuna upungufu wa dhahiri kwenye biashara ya utalii ambayo vijana wengi wenye elimu za sekondari na vyuo vya ufundi wamejiajiri au kuajiriwa.
Ujio wa lema umefifisha utalii iwe wa kwenda porini au wa mikutano ya kimataifa.
Watu wa Arusha hawataki kuona hilo tena.
4-Kuhusu fedha za kufanya kampeni.
Hili la kutokuwa na fedha za kufanya kampeni limemkuta hata 2010 lakini ilikuwa ni bahati wana wa Arusha waliamua kuiondoa ccm tu na hivyo kampeni ziliendeshwa na wapambe zaidi mwaka huu wapambe wamehamia kwa monaban.
Mpaka anatangazwa kuwa mbunge lema alikuwa hoi kifedha kiasi cha kutaka kuhongwa na lowassa ili aachie jimbo wananchi wakashinikiza asithubutu.
5-Wafuasi aina ya mama ntilie,bodaboda na watoto wa mitaani.
Hawa walikuwa ndio wanajaza mikutano ya lema na kumsindikiza kila anapopita.
Mpinzani wake ndugu Monaban alianza kuwawezesha hili kundi kwa mikopo na misaada ya hapa na pale kwa hiyo sasa wanamuunga mkono.
6-Uswahiba wa Monaban na Lowassa.
Hiĺi ni jambo linalomchanganya lema sana.
Monaban ni zaidi ya swahiba wa lowassa.
lowassa ataendelea kumhujumu lema kama ilivyokuwa 2010 wakati lowassa akimsapoti batilda.isitoshe Monaban alikuwa ndio Team lowassa wa Arusha mjini.
7- Ukabila
Hii ni kete iliyokuwa inaratibiwa kwa muda mrefu na wachaga vs waarusha.
ikatumiwa kama kete na kina lowassa na ole medeye.Ni kete yenye mchango katika siasa za arusha ingawa sio ya kuipigia debe sana.
8-Changamoto ya ACT chini ya estomih malla ambaye ni mwanachadema asili aliyetolewa na lema.
Thread hii nitaiupdate tarehe 26 oktoba 2015.
KWA HISANI YA MACHALII WA ARACHUGA!!
#TheArushaWewant
Hilo ni kweli, Mimi mwenyewe naishi Njiro, nitamchagua Monaban lakini najua hashindiwanafukuza upepo(lema) , Lema ndio chaguo la watu from lemara, njiro, kijenge, ungalimited, mjini, ngaranero, moshono, usa,e.t.c,,,e.t.c
Ni wazi lema alikuwa na mvuto wa kipekeeu katika siasa zilizoijenga chadema kiasi cha kuonekana na Lowassa na Sumaye.
Mapokezi ya lema Arusha baada ya kushinda kesi ya uchaguzi ni mapokezi makubwa kuliko hata ya marais wa marekani waliofika Arusha.
lema alipendwa lakini zipo sababu kadhaa zinazofanya aanguke mwaka huu.
1-Ni kuhusu ahadi zake kwa wananchi.
lema aliahidi mengi lakini makubwa ni kuhusu kufufua na kurejesha kiwanda cha general tyre,Kujenga machinga complex,kujenga hospitali ya manispaa ya Arusha ambapo baadae alibadili na kusema hospitali ya mama na mtoto,kutetea wakazi wa kaloleni wasihamishwe kwenye kota za kaloleni bila fidia,kuboresha miundo mbinu ya soko la kilombero na kuirejesha timu ya AFC.hizi ni baadhi ya ahadi za lema.
kimsingi hakuna alichotekeleza na badala yake anaegemea kwenye mgongo wa kazi na mipango ya ccm Arusha kama vile ujenzi wa barabara za mjini na kupanda kwa mapato.
2-Ni kuhusu kuungwa mkono na wafanyabiashara wadogo ambao wengi sio wapiga kura wa Arusha mjini.
Pia hapa nieleze kuwa baada ya ujio wa lema wafanyabiashara wakubwa wamepoteza sana kutokana na vurugu au kunyimwa fursa.lema hana ushawishi wa kibunge wa kutengeneza fursa za kiuwekezaji au kibiashara.
3-kuzorota kwa biashara ya utalii.Ni wazi kuwa iwe kwa makusudi ya ccm ama kwa vyovyote vile ni wazi kuna upungufu wa dhahiri kwenye biashara ya utalii ambayo vijana wengi wenye elimu za sekondari na vyuo vya ufundi wamejiajiri au kuajiriwa.
Ujio wa lema umefifisha utalii iwe wa kwenda porini au wa mikutano ya kimataifa.
Watu wa Arusha hawataki kuona hilo tena.
4-Kuhusu fedha za kufanya kampeni.
Hili la kutokuwa na fedha za kufanya kampeni limemkuta hata 2010 lakini ilikuwa ni bahati wana wa Arusha waliamua kuiondoa ccm tu na hivyo kampeni ziliendeshwa na wapambe zaidi mwaka huu wapambe wamehamia kwa monaban.
Mpaka anatangazwa kuwa mbunge lema alikuwa hoi kifedha kiasi cha kutaka kuhongwa na lowassa ili aachie jimbo wananchi wakashinikiza asithubutu.
5-Wafuasi aina ya mama ntilie,bodaboda na watoto wa mitaani.
Hawa walikuwa ndio wanajaza mikutano ya lema na kumsindikiza kila anapopita.
Mpinzani wake ndugu Monaban alianza kuwawezesha hili kundi kwa mikopo na misaada ya hapa na pale kwa hiyo sasa wanamuunga mkono.
6-Uswahiba wa Monaban na Lowassa.
Hiĺi ni jambo linalomchanganya lema sana.
Monaban ni zaidi ya swahiba wa lowassa.
lowassa ataendelea kumhujumu lema kama ilivyokuwa 2010 wakati lowassa akimsapoti batilda.isitoshe Monaban alikuwa ndio Team lowassa wa Arusha mjini.
7- Ukabila
Hii ni kete iliyokuwa inaratibiwa kwa muda mrefu na wachaga vs waarusha.
ikatumiwa kama kete na kina lowassa na ole medeye.Ni kete yenye mchango katika siasa za arusha ingawa sio ya kuipigia debe sana.
8-Changamoto ya ACT chini ya estomih malla ambaye ni mwanachadema asili aliyetolewa na lema.
Thread hii nitaiupdate tarehe 26 oktoba 2015.
KWA HISANI YA MACHALII WA ARACHUGA!!
#TheArushaWewant[/QUTE]Mimi nitamchagua Monaban lakini ni ukweli hatoshinda Bado Lema ana nguvu, watu wengi wa Arusha wanahasira na ccm kumkata Lowassa alipokuwa huko,
Inawezekana nyingi hazikutekelezwa na Lema kama alivyoahidi lakini Lema hakuchaguliwa kwa ahadi hizo. Lema alichaguliwa kwa ajili ya CCM haitakiwi tena Arusha. Baada ya jina la Lowassa kukatwa, wale wanaccm wachache walimpa kura (24,000) Batilda Buriani 2010 zaidi ya 80% ya hao wamehamia upinzani. Ni wazi kuwa CCM isitarajie zaidi ya 15% ya kura zote Arusha mjini Octoba, 25. Msiwadanganye watu ambao hawako Arusha kwa maelezo mengi yasiyoakisi ukweli na uhalisia wa Arusha
299