Hivi na ile nusu iliyokabakia wamemalizia tayari
sisi mbona tulishahakikiwa tangu kitambo mkuu....si wangetupatia wale ambao tumeshahakikiwa pesa yetu yote then wapewe nusu kwa vyuo ambavyo havijahakikiwa...pia wakati naomba mkopo hamna kipengele cha kusema bodi watanipa nusu.............Vuta Subira mpaka zoezi la kuhakiki Wanafunzi hewa then wanahakiki Wafanyakazi hewa wa Bodi ya Mikopo
Mkuu lini hiyo DIT mmewekewa hiyo pesa....au unajifariji??DIT home of intellectuals tayari wameshatoa
Duh mimi mpaka nakaribia kuimaliza tushamaliziwa zamani [HASHTAG]#udsm[/HASHTAG]Hivi na ile nusu iliyokabakia wamemalizia tayari
Aiseee....sisi SUA Bado mkuu tunalamba vumbi tuDuh mimi mpaka nakaribia kuimaliza tushamaliziwa zamani [HASHTAG]#udsm[/HASHTAG]
Mtapata tuuAiseee....sisi SUA Bado mkuu tunalamba vumbi tu