Sababu za kuoa au kuolewa

Sababu za kuoa au kuolewa

kuna rafk yangu akikutana na mwanamke anafunga ndoa ya kiserikal muda si muda kila mmoja wakatengana nikamuuliza kwann akasema tabia zimemshinda, wa pili hivyohivyo sasa anataka anataka huyu watatu afunge ya serikali, nikamwambia acha kukurupuka ikabidi nimuulize kwann unaoa akakosa jibu, nikagundua watu huoa au kuolewa lakin hajui sababu.
 
Natafuta huyo mwanamke wa kufungishwa nae ndoa ya mkeka, maana ni very cost effective. Hakuna mahari, sijui mkaja wa bibi, mara msuli wa baba... Aah, raha sana. Nampata wapi huyo, tena aliyebomba?
Nenda maeneo ya Rufiji
 
kuna rafk yangu akikutana na mwanamke anafunga ndoa ya kiserikal muda si muda kila mmoja wakatengana nikamuuliza kwann akasema tabia zimemshinda, wa pili hivyohivyo sasa anataka anataka huyu watatu afunge ya serikali, nikamwambia acha kukurupuka ikabidi nimuulize kwann unaoa akakosa jibu, nikagundua watu huoa au kuolewa lakin hajui sababu.
Huyo rafiki yako hajui kwamba ndoa ni ridhiko la nafsi kwamba ikifika muda flani lazima mtu uingie kwenye ndoa kikubwa nafsi yako iwe imekutuma kufanya hivyo, sasa wengine huwa wanaweka na deadline kabisa yaani ikifika April 2014 lazima nioe/kuolewa wakati hata mchumba hana na wengine unakuta wanasema yaani nikipata kazi tu naoa maana nitakuwa na uwezo wa kumhudumia wife (wanasahau ndoa ni zaidi ya kumhudumia mwanamke maana hata huko kwao alikuwa anakula, anavaa na analala tena ukute pazuri kuliko kwa partner), nafsi ikimwambia mtu kuhusu kuoa hata kama hana kitu atakuwa anaanza mdogo mdogo kuweka way forward huku akimshirikisha partner wake. Sasa huyo rafiki yako anataka kuiridhisha jamii kwamba na yeye amefunga ndoa
 
1 Basi kwa habari ya mambo yale
mliyoandika, ni heri mwanamume
asimguse mwanamke.
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila
mwanamume na awe na mke
wake mwenyewe, na kila
mwanamke na awe na mume
wake mwenyewe.
3 Mume na ampe mkewe haki
yake, na vivyo hivyo mke na ampe
mumewe haki yake.
4 Mke hana amri juu ya mwili
wake, bali mumewe; vivyo hivyo
mume hana amri juu ya mwili
wake, bali mkewe.
5 Msinyimane isipokuwa
mmepatana kwa muda, ili mpate
faragha kwa kusali; mkajiane
tena, Shetani asije akawajaribu
kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
6 Lakini nasema hayo, kwa kutoa
idhini yangu, si kwa amri.
7 Ila nipendalo ni kwamba watu
wote wawe kama mimi nilivyo;
walakini kila mtu ana karama
yake mwenyewe itokayo kwa
Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
8 Lakini nawaambia wale wasiooa
bado, na wajane, Ni heri wakae
kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia,
na waoe; maana ni afadhali kuoa
kuliko kuwaka tamaa.
10 Lakini wale waliokwisha
kuoana nawaagiza; wala hapo si
mimi, ila Bwana; mke asiachane
na mumewe;
11 lakini, ikiwa ameachana naye,
na akae asiolewe, au apatane na
mumewe; tena mume asimwache
mkewe.
12 Lakini watu wengine
nawaambia mimi, wala si Bwana,
ya kwamba iwapo ndugu mmoja
ana mke asiyeamini, na mke huyo
anakubali kukaa naye asimwache.
13 Na mwanamke, ambaye ana
mume asiyeamini, na mume huyo
anakubali kukaa naye, asimwache
mumewe.

Ubarikiwe sana Baba Mchungaji na my hezbend wa kufa na kuzikana, tuliyeapa mbele ya padre... Mpaka kifo kitutenganishe, Ndio maana nikakuchagua wewe.....

Asante sana....

KNY: Mchungaji C6 na Mama Mchungaji charminglady tubawakaribisheni nyote katika Kanisa la JRC Kirumba kwenye ibada ya Jumapili ya kesho...
 
Last edited by a moderator:

kweli wife mama mchungaji charminglady maneno uyasemayo ni yenye hekima. tunawakaribisha wooote wajumuike nasi leo ibadani. Mungu awabariki wote
 
Last edited by a moderator:
Point taken mkuu! Ngoja nipate ka likizo nikawinde pande hizo, sina milioni 5 za kuolea mimi
Siku hizi kuoa mpaka uwe na 5 million 5? Hicho kiwangio ni cha kumwoa Jenifer Lopez mkuu, sio lazima ukimbilie Rufiji hata hapo ulipo wapo unaweza ukawapata < 1 million
 
Back
Top Bottom