Sababu za kuBIP..

Jamani kwa ulimwengu huu wa sasa wa ofa za kupiga sim kwa kiwango kidogo tena sawa na buree, huyo mtu anayebp lazima atakuwa anamapungufu kidogo.
 
natamani niwaweke watu kwenye hiyo list,lkn inakuwa inajulikana kwa anaye kupigia!ninataka program inayoweza kufanya hata simu yake isijaribu kuita au kuonesha busy!


Hayo ni kati ya maamuzi magunu. Liwalo na liwe
 
Jamani kwa ulimwengu huu wa sasa wa ofa za kupiga sim kwa kiwango kidogo tena sawa na buree, huyo mtu anayebp lazima atakuwa anamapungufu kidogo.


Lady doctor, Wengine ni kama wameathirika na kubip.
 
Last edited by a moderator:
aaaagh!!kuna mtu alikuwa ananisumbua kwa upuuzi huo!kila siku unamwambia umekosea namba,baada ya siku anabip tena!ukimpigia ''wie nani'

Tehe tehe " wie= wee"
 
ni kweli mkuu kama noma na iwe noma!na akitaka kujua kwanini unamchana za uso...una kera na kubip!


Kuna viumbe wameathirka na kubip. Wasipobip hawapati raha
 

Wanawake wengi wanao beep huwa ni malaya. Do ur research
 
Mtu anaku-beep ikiwa anajua una desturi ya kumpigia pindi anapoku-beep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…