Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
- Thread starter
- #81
MCHENGERWA hanaga maneno na mtu, anafanya kazi yake ya uwaziri vyema sana, na hata alipopita alikuwa mtu safi sana.wacha majungu.
Waziri Mchengelwa anafanya kazi nzuri sana.