Sababu za CCM kuondoka madarakani 2020 zazidi kuongezeka

Kwa hiyo Serikali ikibana matumizi ili fedha zinazopatikana zielekezwe kwenye miradi ya maendeleo ni tatizo? Hivi ninyi CHADEMA akili zenu mmezipeleka wapi? Maana aiku zote mnawaza ujinga ujinga tu. serikali yetu ipo makini na imedhamiria kutuletea maendeleo wananchi
 
Mtakuja na muujiza gani wakati mnapunguza ajira huku tatizo la ajira teyari likiwa ni bomu linalosubiri kulipuka.

Hivyo viwanda mnavyohubiri vitaweza kupatikana vya kutosha ndani ya miaka 5 kutatua tatizo la ajira?
Endelea kuuliza maswali. Kwa sasa tupo busy kutekeleza Ilani ya CCM. Tukutane 2020
 
Kwa hiyo Serikali ikibana matumizi ili fedha zinazopatikana zielekezwe kwenye miradi ya maendeleo ni tatizo? Hivi ninyi CHADEMA akili zenu mmezipeleka wapi? Maana aiku zote mnawaza ujinga ujinga tu. serikali yetu ipo makini na imedhamiria kutuletea maendeleo wananchi
t
mzee wa mipango UNARATIBU wana ccm wasiopenda magu kuwa Mwenyekiti na unauma na kupuliza unatumwa na katibu kwenda kuratibu vijana waje kuisaidia CHADEMA na polisi dodoma kama sio kweli bisha na ukibisha tunakuanika na Email zako ulizotumiwa na katibu.

swissme
 
Mtakuja na muujiza gani wakati mnapunguza ajira huku tatizo la ajira teyari likiwa ni bomu linalosubiri kulipuka?

Hivyo viwanda mnavyohubiri vitaweza kupatikana vya kutosha ndani ya miaka 5 kutatua tatizo la ajira?
uzuri ni kuwa wewe sio nabii hata mimi pia,wote tukae tusubiri.
ubaya unakuja ni wewe unapoiombea njaa serikali yako wakati ataye athirika ni wewe tu na sio serikali.na ubaya wa upinzani wa nchi hii mara nyingi sana wanatoa kasoro bila kutoa mawazo mbadala ya kutatua kasoro hiyo.
 
Back
Top Bottom