Sababu ya NCCR kufa na Kupona kwa chadema

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
693
Reaction score
182
Wapenzi Wanabodi.

Inawezekana mnajuwa mengi kuhusu kilichoisibu NCCR ambacho kilikuwa chama kikuu cha upinzani kilichotikisa Tanzania miaka hiyo hakika makosa machache yalikuwa km ifuatavyo

1. kukosa watafiti wazalendo ndani ya chama na ukosefu wa wanausalama wa chama wazalendo
2. kukosekana kwa mihimili ya chama hivyo lilikuwa kama genge tu la watu wenye malengo tena yasiyofanana
3. kuchelewa kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa kila hatua ya matatizo iliyojitokeza matokeo wakaingia kwenye political circle ambayo hata zitto alitaka kuitengeneza na isiyoisha ili kudemoralize wafuasi wa chama

Na hizo ndio nguzo za chadema
1. Chama kina wafia chama yaani die hard ambao walishachora mstari wake na pia inteligentsia inafanya kazi sio kidogo
2. kina watafiti na washauri mahiri na hiki kitu watu wanaweza kudharau lakini ndio nguzo kuu ya chama
3. kina vinara wa chama au nguzo km baba vile unajua niseme mkiti wa chama lazima uwe sawa na baba ktk familia ili chama kisimame na lazima aaminike ndani ya nyumba na aogopwe na mahasimu wake km ili yo kwa mbowe slaa nk ambao ccm so far iko very scared inatamani wafe ili wafurahi maana baba atakuwa amekufa na kucheza na wajane
4. kinachukua hatua haraka palipo tatizo baada ya kupata utafiti wa kutosha kutoka kwa watalaam wake (ingawa hili kidogo walitaka kuchelewa na ingetengeneza political circle yaani usugu ambapo sasa zito angeonekana hawezekani tena)

hivyo niseme chadema itadumu na baada ya mzizi mkuu huu wa usaliti kuondoka sasa chadema inaenda kuchukua dola maana sasa ni mchakamchaka sio chadema msingi, sio M4C

Siri iliyopo
Mnajua juhudi za mwanzo ilikuwa ccm inatafuta namna ya kuwagombanisha mbowe na slaa ikashindikana wakatafuta weak point. Mbaya walipopaegemea pako weak kweli kweli na sasa watalia na kujuta maana anayenunulika hayupo tena

2015 chadema itashinda na kuchukua nchi hata wakitumia katiba na daftari la sasa la kupigia kura sijui wakiyarekebisha itakuwa balaa zaidi, trust nasema kwa kuzingatia utafiti mwingi tu ambao upo unaosababisa hata ccm kuhaha sana na kuwatumia mamluki na wapenda dezo akina mwampamba na juliana maana going forward ccm hawana namna ya kubadilisha upepo sasa wa maisha ya wananchi na madudu ya viongozi na wameingia zaidi ktk circle ya katiba by any means itakula kwao big time hata iweje kwa wajuvi mmeshaelewa maana hata watumie bunge la katiba haisaidii hata kidogo wakibadilisha wananchi katiba wakaikataa ndio kaa la moto litawawakia maana watakuwa hawaaminiki tena. Heri ya mwaka mpya
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    48.6 KB · Views: 639

Umeanalyse vizuri sana. Kwa kuongezea tu nikwamba ndani ya NCCRA waliwekwa usalama wataifa wengi sana ili kuvuruga chama. Hivi nani alitegemea kwamba Prince Bagenda angerudi CCM? Pamoja na uamuzi mzuri ambao Chadema wamechukua dhidi ya Zitto & Co, lakini wamechelewa sana maana huyu mtu aligundulika mapema sana. Iwapo sisi watu wa kawaida tulimgundua msaliti miaka ya 2007 imekuwaje wao wachelewe hivi? Inabidi wawe wanaengua watu mapema.

Huyu Zitto bado atasumbua sana maana mitambo ya Downs aliyopigania tayari ilishanunuliwa, sasa ule mtandao wa urais tayari unapesa kiasi kwamba ndani ya CCM hakuna wa kuuzuia. Mtandao huu umejiweka sawa ndani ya CCM, kilichobaki ni kuharibu ndani ya Chadema. Chadema wawe makini sana sana, waliopanda wasaliti siyo wajinga wategemee Zitto tu eke yake.
 
Mapambano bado yanaendelea niko mtandaoni sijalala natetea CDM bila malipo kwani nisipofanya hivi ntakuwa naandaa mazingira ya mwanangu kuja kuuzwa kwa wachina

nimekukubali kwa jinsi ulivyotofautisha kilichotokea nccr,kilchotaka kutokea chadema na kinachoendelea kwa sasa chadema.BIG LIKE
 
thanks ni analysis nzuri sana
 
Safi sana mkuu na mimi naungana na wewe pia. Wafukuzwe wasaliti wote.
 
Mapambano bado yanaendelea niko mtandaoni sijalala natetea CDM bila malipo kwani nisipofanya hivi ntakuwa naandaa mazingira ya mwanangu kuja kuuzwa kwa wachina
hongera sana kamanda,ngoja niwasiliane na slaa angalau aje akupe ukuu wa wilaya kama akiwa rais.juhudi zako tunaziona.
 
Big up sana mleta mada,hakika una muono wa mbali!
 
Good analysis, CCM hawana njia nyingine zaidi ya kusubiri kuchinjwa, tumeshawaelekeza shingo Kibla.. Kisu kimenolewa Mnjinjaji yupo tayari anasubiri amri tu.
 
Big LIKE mleta mada good analysis Mungu akubariki sana
 
Angalieni upande wa pili! Hamko salama Kama wengi mnavyoamini! Yangu macho tutayaona na kuyasikia mengi na mkimalizana na ZZK mtaanza lingine tena linakuja!

Tusubiri
 
vipi kuhusu CUF

Ki ukweli KIFO cha CUF kinasikitisha sana, Maana walipigwa Kombora MOja tu la UDINI chama Chaliiii kabisa kilichobaki ni Historia.

Na hakika kilicho wamaliza CUF ni huohuo Udini, Wafuasi wengi wa CUF leo wanajificha kwa Kivuli cha CCM na wapo huko kumtetea Kikwete kwani ni #Diniyetu . Hakika 2015 tutaona Ufufuo wa CUF ya zamani lakini kiukweli ni too late.

Nakuthibitisha hili ni ile rumours kuwa kura za CUF zilitumika kumjazia JK ili mradi asogeesogee na kushinda, Maana ukiangalia kura walizopata CUF azilingani na Hadhi yao Kabisa.
 
Wapenzi Wanabodi.

Inawezekana mnajuwa mengi kuhusu kilichoisibu NCCR ambacho kilikuwa chama kikuu cha upinzani kilichotikisa Tanzania miaka hiyo hakika makosa machache yalikuwa km ifuatavyo

1. kukosa watafiti wazalendo ndani ya chama na ukosefu wa wanausalama wa chama wazalendo
2. kukosekana kwa mihimili ya chama hivyo lilikuwa kama genge tu la watu wenye malengo tena yasiyofanana
3. kuchelewa kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa kila hatua ya matatizo iliyojitokeza matokeo wakaingia kwenye political circle ambayo hata zitto alitaka kuitengeneza na isiyoisha ili kudemoralize wafuasi wa chama

Na hizo ndio nguzo za chadema
1. Chama kina wafia chama yaani die hard ambao walishachora mstari wake na pia inteligentsia inafanya kazi sio kidogo
2. kina watafiti na washauri mahiri na hiki kitu watu wanaweza kudharau lakini ndio nguzo kuu ya chama
3. kina vinara wa chama au nguzo km baba vile unajua niseme mkiti wa chama lazima uwe sawa na baba ktk familia ili chama kisimame na lazima aaminike ndani ya nyumba na aogopwe na mahasimu wake km ili yo kwa mbowe slaa nk ambao ccm so far iko very scared inatamani wafe ili wafurahi maana baba atakuwa amekufa na kucheza na wajane
4. kinachukua hatua haraka palipo tatizo baada ya kupata utafiti wa kutosha kutoka kwa watalaam wake (ingawa hili kidogo walitaka kuchelewa na ingetengeneza political circle yaani usugu ambapo sasa zito angeonekana hawezekani tena)

hivyo niseme chadema itadumu na baada ya mzizi mkuu huu wa usaliti kuondoka sasa chadema inaenda kuchukua dola maana sasa ni mchakamchaka sio chadema msingi, sio M4C

Siri iliyopo
Mnajua juhudi za mwanzo ilikuwa ccm inatafuta namna ya kuwagombanisha mbowe na slaa ikashindikana wakatafuta weak point. Mbaya walipopaegemea pako weak kweli kweli na sasa watalia na kujuta maana anayenunulika hayupo tena

2015 chadema itashinda na kuchukua nchi hata wakitumia katiba na daftari la sasa la kupigia kura sijui wakiyarekebisha itakuwa balaa zaidi, trust nasema kwa kuzingatia utafiti mwingi tu ambao upo unaosababisa hata ccm kuhaha sana na kuwatumia mamluki na wapenda dezo akina mwampamba na juliana maana going forward ccm hawana namna ya kubadilisha upepo sasa wa maisha ya wananchi na madudu ya viongozi na wameingia zaidi ktk circle ya katiba by any means itakula kwao big time hata iweje kwa wajuvi mmeshaelewa maana hata watumie bunge la katiba haisaidii hata kidogo wakibadilisha wananchi katiba wakaikataa ndio kaa la moto litawawakia maana watakuwa hawaaminiki tena. Heri ya mwaka mpya

Nccr haikuanzishwa kwa malengo ya upinzani wa dhati, bali kilikuwa kwenye msafara wa mamba, wao wakiwa kenge, ndio maana unaona wana hata mbunge wa offer ya mwenyekiti wa ccm, ni bahati mbaya wabunge vijana hawajui huyo siri ndio maana wanaonekana kama wapinzani. Ila siri hiyo anaijua Mzee wa kuua upinzani Mrema na Mbatia. Hibyo Nccr ni tawi la Ccm
 
hongera sana kamanda,ngoja niwasiliane na slaa angalau aje akupe ukuu wa wilaya kama akiwa rais.juhudi zako tunaziona.
we lumumba nini..... cdm sera yetu ni majimbo si wilaya elewa hilo usikurupuke
 
Back
Top Bottom