Sababu ya mishahara kuchelewa mwezi huu April

...pesa zote wamewapa wafunga buti walio ruka sarakasi kwenye sherehe miaka 50 za muungano batili..

Muongo wewe, zile pesa wamepewa wazee wa MATUSI mjengoni Dodoma. Siku 67 za matusi mjengoni na kila cku 300,000/=
 
.... Kwani hamjui kuwa tulikuwa na maonyesho ya miaka 50 ya Muungano? Jamani tuwe na tabia ya kuvumiliana kidogo...
 
Tatizo ni sdrikali kukosa watu wenyekufikiri kila kuongozi hujalj familia yake tu na kuwasahau wafanyakazi utaona may mosi uongo mwingi kwa wafanyakazi
 
Mei Mosi ndo kesho ila mishahara hd ss bado. Vp mikoa mingine?

Ni hivi hela zote tulimaliza kwenye serehe za kuvunja mawe kwa kichwa kwa sasa tunasubiri sekta binafsi ipeleke michango yake kwenye mifuko ya hifadhi ili tukakope huko ndiyo tuwalipe watumishi sasa we neng'eneka kama huogopi yale mazoezi ya kuvunja vigae kwa kichwa
 
Hali ngumu saana kitaa yan kesho mi boycott


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Wafanyakaz wote vumilien pesa imekwisha kwny muungano,pia mwigulu tulimpa pesa akatanue na watanzania waishio marekan na mke wake labda tukakope tena tuongeza den kutoka Trilion 40 hadi kufikia 50 ika pia mtasubir kidogo mai mos hiyo inakija pia tutawaalika jesh ili muone mbwembwe za jesh,
Ole wake atakayeandama ni kupiga tu nami nasema wapigwe tu tumechoka!!!
 
Nimesikitishwa kwamba hadi usiku huu walimu mkoa wa Mbeya hawajapata mshahara wa mwezi Aprili! Mwenye taarifa atujuze kulikoni? Je ni tatizo la nchi nzima?
 
Hee sasa ulipovunja mawe kwa kichwa ulienda kutibiwa kwa hela za walipa kodi au?
 
Nahisi kwa serikali kuu labda wizara ya ulinzi ndo imetoa, ila hizi wizara nyngne majanga bado.
 
Mei Mosi ndo kesho ila mishahara hd ss bado. Vp mikoa mingine?

Idara ipi hyo? Kwetu walioko crdb walikula salario tangu 23/04 na tulioko nmb tulikula 25/04. Hamia kwetu. Maana wakat unafikiria mshahara wengine tusha sahau kitu hyo
 
Back
Top Bottom