Bunge la katiba, miaka 50 ya muungano yamaliza fedha hazina waalimu tunakufa njaa.walah shida niliyo nayo ole wenu tena ole wenu mje uwanja wa taifa (TEMEKE)kwenye sherehe za mei mosi nitakua kwenye nitakuwa gumzo magazeti ya tarehe 2 lazma nijitoe mhanga nimechoka madeni mwalimu mie.nimejifungia ndani siku mbili mlango unagongwa ka ngoma aibu gani hii jamani?Meimosi ya mwaka huu fanyieni huko huko mnaposhiba na kusaza ostabey na masaki kwani hamna fiwanja?fanyieni viwanja vya farasi msherehekee nyie na watoto wenu.sisi tunanjaa sherehe hatutakiiiii.