Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
you work for money and not money working for you!
Kwetu kimeiva
hahahahaaaa..,mkuu haugopi kun'golewa meno na macho bila gan'zi..,?nyie si ni wale mnaopasua matofali kwa kichwa?
Waungwana ina maana wale wapigakelele wa bunge la katiba ndo wamesababisha watumishi serekalini tusilipwe ? Au fedha wamekula hawa machangu ? Kwengine vp mmepata ?