unashangaa mishahara kuchelewa ..ni kawaida sisi tumezoea. fikiria raisi aliwahi kuagiza ifikapo 25kila mwezi mishahara iwe imetoka hazina na halimashauri wakampuuza, sasa wewe hata ulie no way.fikiria mwaka jana pinda alitoa miezi mitatu madeni ya walimu yawe yamelipwa ....limebaki agizo hewa.kinana ccm nae alitoa agizo wapi!!!hakuna kinachofanyika.jana tena waziri mkuu kaja na lingine..madeni yawe yamelipwa kabla ya 30 june mwaka huu 2014..ndugu yangu nadai tangu 2008 nikiulizia naambiwa mchakato wa kulipa unaendelea,mara uhakiki unaendelea kwa C.A.G,,mara majina yapo hazina na malipo yanaanza kwa awamu,ghafla tena majina yamepelekwa tamisemi,,mara yamerudishwa utumishi...yaani ni utapeli tuu..