Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
!
!
hana lolote mleta uzi.....walimu ndio walikuwa mstari wa mbele na iyena iyena sisiem ndmbari wani, wakapewa kanga na tshirt wakaipigia kura sisiem walipopewa elfu kumi kumi ndio kabisaa wakachakachua matokeo. Na bado, walimu hasa wa primari na wa sekondari hasa za selikali mna la kujibu mbele ya haki....