Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Kuna mwenzenu yupo humuhumu anatafuta Hanithi tena awe na pesa za kutosha! Huu ni ushuhuda wangu hapahapa J.f,sasa niambieni anamtaka wa nn?
 
Wanaume ukiwa na pesa mpe ale, avae, asuke aishi vizuri anavyotaka. Acheni ubaili, mkiwa hamna pesa mnachonga saaaaaana kama huna pesa za kumpa ili aishi vizuri na ale vizuri pita hivi huna lolote
Cc tunataka pia tumpe hela asitoke nje kugongwa .....maana tunaona hawaridhiki
 
unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Kwa chuki zako hizi .
I bet 100% .. Naweka milioni tatu mezani...cash!!
Kama zero yako ipo salama hio pesa yako..
Tafuta njia yoyote utakayoipenda utestiwe na uweze kuipata pesa yako.
Serious 99%
 
Kwa chuki zako hizi .
I bet 100% .. Naweka milioni tatu mezani...cash!!
Kama zero yako ipo salama hio pesa yako..
Tafuta njia yoyote utakayoipenda utestiwe na uweze kuipata pesa yako.
Serious 99%
seriasly kweli niwe nimeliwa ziro? kweli? acha utani wewe! kwanza wajinga wala ziro sio type zangu mkuu niombe radhi kunifikiria huo ujinga halafu nilikuwaga nakuheshimu sana nimekushusha thamani
 
Mimi mwanamke wangu ana pesa kunizidi.
Sasa sijui niseme nini hapa....
 
seriasly kweli niwe nimeliwa ziro? kweli? acha utani wewe! kwanza wajinga wala ziro sio type zangu mkuu niombe radhi kunifikiria huo ujinga halafu nilikuwaga nakuheshimu sana nimekushusha thamani
Miss Natafuta. Basi nisamehe..sikudhani kama utaichukulia serious sana hii post yangu.
Umabadilika lini na kuanza kukasirika post za kukutania?
Basi jamani sitakutania tena.. Just forget .. Sikupanga kuku offend... Kinda of funny only. Anyway sor
 
Back
Top Bottom