Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,594
Hello JF,

Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.

Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.

*** Hii haiwahusu wadada wa JF :D:D:p
 
mtu yeyote anaetegemea kuwa na mtu mwenye hela ni "papasi"
yaani hayuko tayari kuanzisha msingi wa kuzitafuta bali ale jasho la mtu!!

unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
 
unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
mimi ni mzee, mimi ni baba yako kabisa unapaswa kuniamkia, maana naelekea miaka hamsini!
.com imetokea juzi naiona.

zamani wanawake waliridhika na mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa! siyo mwwnye hela!
halafu mwanamke hata kama hakusoma, akiingi katika mji ma mawazo mazuri ya kushauliana na mumuwe, anamiliki tu hela mbona?
 
unaweza kuwa sahihi ila ni kweli wanawake huangalia vitu hivyo,security kama haipo usidhanie atakaa kwako,labda anaweza asitamke wazi,ila nature ndio inaamua hivyo lol
 
Hela hela ina utamu wake hata single lady lazima apende hela ili apendeze,anywe,avae,asuke weaving jipyaaaa,rasta za ukweli,make up za bei mbaya nakadhalika
 
Old school women walikua wanaamini mwanaume ndiyo provider wa kila kitu, wanawake wa kizazi hiki hawakutakiwa kuwa hivi ni uvivu wao na kuhisi qumer ndiyo mtaji.
Marehemu Remmy Ongala katika wimbo Kipenda Roho alizungumzia wanawake kupenda pesa, yaani swala aliloliongelea miaka ile leo wanawake wana means zote za kujikwamua bado wanategemea uzuri na qumer viwape mkate wa kila siku.
 
Hello JF,.....kuna Imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli,.....leo nimeona mahali,ufafanuzi wake,lol.. Ni kwamba as a society,tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia,

Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi,...wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security!.....Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.

****** hii haiwahusu wadada wa JF :D:D:p
Mwanamke hata kama ANA KIPATO KIKUBWA Kuliko MUMEWE, CHAKE ni CHAKE, CHA MUMEWE ndio CHA WOTE
 
Old school women walikua wanaamini mwanaume ndiyo provider wa kila kitu, wanawake wa kizazi hiki hawakutakiwa kuwa hivi ni uvivu wao na kuhisi qumer ndiyo mtaji.
Marehemu Remmy Ongala katika wimbo Nasikitika alizungumzia wanawake kupenda pesa, yaani swala aliloliongelea miaka ile leo wanawake wana means zote za kujikwamua bado wanategemea uzuri na qumer viwape mkate wa kila siku.

nimependa hii post,ni kweli tuna hazina/fursa nyingi za kujikwamua,sio kama zamani....
 
Back
Top Bottom