Haaahhh mkuu, labda ni pacha wanguDoppla umeacha uinjinia xiku izi?
Fedha ya kula tu na kumlipa Land lordMtoa mada we una utajiri wa kiasi gani.?
Barikiwa sanaNijuavyo mimi,hiyo inaitwa "pay yourself first' it means unatunza % kadhaa kulingana na kile ulichokipata kwenye mishe zako/biashara zako,huwa tunashauri saving ianzie 10%,ila kama pesa ulopata ni nyingi unaweza jilipa 20% n.k na kui_save,at the end of the day hiyo pesa inatakiwa iingie nayo kwenye mzunguko(ilete pesa)
Japo wengi huwa wanadhani "pay yourself first" ni kujimegea kiasi fulani kwenye kipato ulichoingiza na kufuja/kustarehe/kununua vitu vya anasa,Big No...
Basi elewa mkuuNilikuwa sijui hili, kwamba fedha ni kigezo cha utajiri na umasikini.
Kuna wengine hawana hata mshahara but wanaweka akibahizi kanuni nyingine mnazozisoma kwenye vitabu vua wazungu msituletee huku, unazungumzia saving kwenye mshahara wa 250000!
Thanks mkuuAsante kwa ufafanuz mzuri
Every action has an equal and opposite reactionKanuni ya kipuuzi kabisa ..sasa nini maana ya kutafuta pesa ,ikiwa hupati chakula ,mavazi, hakuna outing kidogo kujipa furaha ya mwili na akili
Tunatafuta ili tutumie kulingana na mahitaji yetu ,maisha yenyewe siku hizi inakwenda anti-clockwise
UsihofuWewe ni number ngapi katika list ya watu matajili? Mim ni namba bilion 7 huku
Maisha ni mashindano alwaysUsihofu
Keep pushing
Maisha sio mashindano
OkayMaisha ni mashindano always
Maisha ni furaha vilivyobakia ni mbwembweBasi kausha mkuu!!
Maisha ni kuchagua