Sababu ya kwa nini wewe bado ni masikini

Sababu ya kwa nini wewe bado ni masikini

Maisha ya mafanikio ni foleni kama wakati wako bado hata ukitembelea kichwa ni bure tu.
 
Yaani hapa kwenye kujilipa ndio sijakuelewa bado ninajilipa kiaje eti?
Nijuavyo mimi,hiyo inaitwa "pay yourself first' it means unatunza % kadhaa kulingana na kile ulichokipata kwenye mishe zako/biashara zako,huwa tunashauri saving ianzie 10%,ila kama pesa ulopata ni nyingi unaweza jilipa 20% n.k na kui_save,at the end of the day hiyo pesa inatakiwa iingie nayo kwenye mzunguko(ilete pesa)
Japo wengi huwa wanadhani "pay yourself first" ni kujimegea kiasi fulani kwenye kipato ulichoingiza na kufuja/kustarehe/kununua vitu vya anasa,Big No...
 
Adui yetu baada ya umasikini ni "maradhi" sio "malazi" mkuu

Una uadui na malazi unakaa pangoni au?
 
Nilikuwa sijui hili, kwamba fedha ni kigezo cha utajiri na umasikini.
 
hizi kanuni nyingine mnazozisoma kwenye vitabu vua wazungu msituletee huku, unazungumzia saving kwenye mshahara wa 250000!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nasubir sababu ya 2, maana mpaka 2/3 nikiwa nyavuni ndio nitaamini
 
Kanuni ya kipuuzi kabisa ..sasa nini maana ya kutafuta pesa ,ikiwa hupati chakula ,mavazi, hakuna outing kidogo kujipa furaha ya mwili na akili

Tunatafuta ili tutumie kulingana na mahitaji yetu ,maisha yenyewe siku hizi inakwenda anti-clockwise
 
Back
Top Bottom