StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,628
- 7,855
😆😆tena(Hapa ndipo shetani anapatumia sana kuijaza Jehanamu). Na anaijaza sana tu!
Kwahiyo unatushauri tusitamani
Tamaa isiyodhibitiwa na Upendo ni timing bomb,kulipuka ni kugusa tu!Kwahiyo unatushauri tusitamani
Sijaandika solution yake makusudi na nina sababu ya kufanya hivyo🙏Bandiko la hivi kwa great thinkers unapaswa kuweka nn sasa kifanyike.. endelea kujifunza uandishi mzuri wenye tija
Duh😀🤦🏾♂️Naonaga upendo ukipungua watu wapigane tukio yale maumivu yanayotokea ndio hukumbusha ni kiasi gani bado unampenda na kumuhitaji mtu huyo.
Ndugu Mtumishi wa Bwana ikikupendeza rudia kusoma tena paragraph ya tatu kutoka juuKwahiyo unatushauri tusitamani
Kwahiyo ni kama nuclear bomb 💣Tamaa isiyodhibitiwa na Upendo ni timing bomb,kulipuka ni kugusa tu!
Nimeelewa kuwa tusioe Kwa tamaa Bali upendo amaNdugu Mtumishi wa Bwana ikikupendeza rudia kusoma tena paragraph ya tatu kutoka juu
Kumbe je,chunguza rate ya uchepukaji,talaka,kupigana "ya kichwa" n.kKwahiyo ni kama nuclear bomb 💣
Naam👍Nimeelewa kuwa tusioe Kwa tamaa Bali upendo
Kutamani nako ni suna lakiniUnakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi).
Sasa basi,kwa kuwa Mimi Student Teacher kwa asili siyo mchoyo wa Maarifa ngoja nikupe sababu ya wewe kumkinai mkeo licha ya urembo na wema wake kwako.
Umemkinai Kwa sababu tangu mwanzo ulimuoa kwa kusukumwa na tamaa za mwili wako tu pasi na Upendo.
Kumbuka tamaa yoyote ile ina kawaida ya kuexpire. Kitu kama hauna unatamani sana kukipata,na ukikikipata pole pole unaanza kukizoea hatimaye kukikinai kabisa. Kinakuwa hakikusisimui tena(Hapa ndipo shetani anapatumia sana kuijaza Jehanamu). Na anaijaza sana tu!
Upendo hauchuji,hauchachi wala kuexpire.
Muwe na siku njema🤝
Upendo hauchuji,hauchachi wala kuexpire
Ndugu natambua fika kwamba kuna wake wa hovyo(wanaokinaisha). Zingatia kwamba mada yangu haijajikita kupoteza muda kujadili watu waliamua kupinda. Elewa Neno Mke mwema!Mimi huwa sisukumwi na tamaa za kimwili mi sina moyo wa tamaa hata nikivutiwa na mwanamke kwa mara ya kwanza baada ya kumuona huwa simfati kumwambia na chill kwanza kuangalia mambo yake nikigundua ana mambo mengi na change gear from high to low nabadili uelekeo simfati wala nini.
Lakini ukikutana na mwanamke mwenye kelele nyingi , maneno maneno na kiburi we unajishusha ili amani iwepo ila yeye anataka akupande kichwani hapo bro hata kama ulimpenda hukumtamani lazima utamkinai.
Binafsi hakuna kitu nachukia kama kelele, Maneno maneno na kelele zinabadili moyo wangu kutoka kupenda hadi kumuona mtu kero sekunde 5 tu