Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,465
- 23,727
Nilikuwa nakutafuta sanaNimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nini could be a reason. Sababu mwanamke wa tatu sasa analalamika jambo hilo kuwa Chidy dhakari yako imeongezeka.
Nami naona tofauti kiasi flani. Lakini nashangaa kwa umri huu wa above 50 inawezekana vipi ikaongezeka? Kuna kipindi flani kweli nlihisi kama imepungua unene. But miezi ya hivi karibuni naona mabadiliko. Najiuliza nini inaweza kuwa sababu.
Na je kuna tabia, vyakula au vinywaji ambavyo inawezekana vikachangia jambo hili? How? Maana naamini kwa umri huu tulio nao hakuna tena kiungo kinaweza kukua. Ukicha kunenepa na kukonda.
Je matumizi ya vitu flani inaweza kuwa sababu? Pengine kama nitapata mwanga kwenu naweza kushare mabadiliko kadhaa ambayo nimefanya katika ulaji na unywaji.
Nashukuruni.
π€£π€£usikute unawaingizia pamoja na shuka
Naona ameshakukamata kupitia tangazo lake.Nilikuwa nakutafuta sana
you made my morning asanteusikute unawaingizia pamoja na shuka
Labda. Hapa umetumia uzoefu wako. But ukiingiziwa na shuka dont you feel it?usikute unawaingizia pamoja na shuka
Eti eeeeeh......Umelileta ki namna sana Hilo tangazo lako la kujaribu kunasa kitoweo cha mwisho wa mwaka,,Nakutakia kila lenye kheri likutangulie!!
Priiiiiii priiiiiii eti promota anabeep naamua kumpigia bila aibu aibu anajisifu. .............Nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nini could be a reason. Sababu mwanamke wa tatu sasa analalamika jambo hilo kuwa Chidy dhakari yako imeongezeka.
Nami naona tofauti kiasi flani. Lakini nashangaa kwa umri huu wa above 50 inawezekana vipi ikaongezeka? Kuna kipindi flani kweli nlihisi kama imepungua unene. But miezi ya hivi karibuni naona mabadiliko. Najiuliza nini inaweza kuwa sababu.
Na je kuna tabia, vyakula au vinywaji ambavyo inawezekana vikachangia jambo hili? How? Maana naamini kwa umri huu tulio nao hakuna tena kiungo kinaweza kukua. Ukicha kunenepa na kukonda.
Je matumizi ya vitu flani inaweza kuwa sababu? Pengine kama nitapata mwanga kwenu naweza kushare mabadiliko kadhaa ambayo nimefanya katika ulaji na unywaji.
Nashukuruni.
ππππππusikute unawaingizia pamoja na shuka
Its good maana nalo ni jambo jema. Au nadhani K zao zimepungua. But pia ungesoma kwa utulivu ungeelewa. Maana nimeandika wanasema wameona mabadiliko. Sasa kama hawakuiona mwanzo wanajuaje? But pengine zamani ilikuwa ndogo zaidi... Now it grows. Perhaps.Wanakufariji tu hao nawe unavimba kichwa , kwanza hao wanawake waliiona kabla ikiwa fupi, so now wanaona imeongezeka?