Sababu nne za CHADEMA kushinda Igunga

Makala nzuri sana,big up mkuu.
Ni bora moja iliyo simama kuliko kupata "vipunje vya habari"
ambavyo kuvielewa hadi usome comments za member wengine
wakilalamika kuto ielewa na baadaye wakajibiwa.

All the best chadema,....
 
Wafanyakazi wa serikali wanaosimamia chaguzi mbalimbali kama mkurugenzi,watu wa tume ya uchaguzi wakiamua ku stand firm na kutambua kwamba ajira zao zitakuwepo tu hata kama cdm/opposition wanachukua jimbo mabadiliko makubwa yatatokea. ukiacha ufahamu mdogo wa wananchi juu ya haja ya mabadiliko pia watumishi hao nao ni kikwazo kikubwa sana
 
sasa nalala kwausalama kabisaaaaaaaaaaa Vipi kampeni za nyumba kwa nyumba na kitanda kwa kitanda zinaendelea ???
 
Mkuu nimesikia sisiem wanataka kuchoma ofis yao ya wilaya alaf waseme ni cdm, je hizo ni kwel?
 
Mkuu Vancomycin, uko wapi? mbona hapa watu tumeuliza maswala ya msingi lakini wewe hujibu? why?
Na vipi mtizamo wako kuhusiana na CUF? Ni kweli CUF inakubalika hapo Igunga kuliko CDM?
 
Makala nzuri sana,big up mkuu.
Ni bora moja iliyo simama kuliko kupata "vipunje vya habari"
ambavyo kuvielewa hadi usome comments za member wengine
wakilalamika kuto ielewa na baadaye wakajibiwa.

All the best chadema,....


kaka mimi siyo mwandishi wa makala hii umenipa sifa nisiyo stahili,hata mimi mwandishi simjui imeandikwa hivyo na mwandishi wetu huko nilipoikuta
 
Mkuu Vancomycin, uko wapi? mbona hapa watu tumeuliza maswala ya msingi lakini wewe hujibu? why?
Na vipi mtizamo wako kuhusiana na CUF? Ni kweli CUF inakubalika hapo Igunga kuliko CDM?

kaka nilikuwa busy na kutafuta mlo wa kila siku ...............................mimi siyo mwandishi wa makala hii nimetoa ufafanuzi wa hili katika post mojawapo

habari zinatabanaisha kuwa igunga ina wapiga kura 170,586 waliopiga kura uchaguzi uliopita ni chini ya asilimia hamsini,sasa wale ndugu zetu wa CUF wakitoa kile wanachoita mtaji wao wa wapiga kura 10,000 ingawa ni imani yangu idadi hii inaweza kupungua zinabaki 160,586.Hapa kuna la kujiuliza


je kwa nini idadi ndogo ilipiga kura?

je ni wangapi watapiga kura?

je kama ambao hawakupiga kura kura hawakuona umuhimu wa kupigia CCM kwa kukosa imani nao ja watapigia CUF ambao hawakuwapigia mwanzo?

Je wale waliopigia CUF au CCM kwasababu walikosa mbadala watapigia wapi?

Nimetazama vyama zaidi kuliko mgombea hapa tena kuna la kujiuliza CUF ni mgombea yule yule ila CCM na CDM ni wagombea tofauti?
 
Nimeipenda makala yako.Mungu yu pamoja na wanaomulilia mchana kutwa naye atajibu maombi ya watanzania wanaotaka kuona jimbo la Igunga linakuwa mikononi mwa Chadema na ccm ibaki kuwa wapinzani.Tunasubiri magamba mengine ya jivue
 
Back
Top Bottom