Wangeoa na kupata watoto tungetunza genes zao mpaka leo"Thou shalt marry" amri hii haipo kwenye Biblia Takatifu. Nadhani msipende kulazimisha watu wasio kwenye mahusiano kuwepo kwenye mahusiano kwa nadharia za kutungwa........
Wamekuwepo watu mashuhuri ambao hawakuwahi kuoa wala kuolewa, na walikuwa hawana tatizo lolote kama unavyosema hapa. Kikubwa zaidi ni kwamba waliifanyia dunia makubwa mno kuliko hata waoaji/waolewaji.......
Tuwaache watu waishi maisha yao.....
Nakubaliana kabisa na wewe. Japo siyo mara zote watoto huwa kama wazazi, kuna sababu mchanganyiko nyingi zaidi ya vinasaba zinazofanya mtu kufanikiwa kwenye maisha.Wangeoa na kupata watoto tungetunza genes zao mpaka leo
π―π€Asipotongozwa, huwa wanajisikia vibaya na wengine huwa wanakuwa wakali wakali, kwa kuhisi labda ni wabaya
Ngoja tumuulize figo76 kama analitambua hiliMwanamke kutongozwa, ni moja ya ishara ya kuthibitisha uzuri alionao, mvuto, pamoja na hali ya kupendeka kwa wanaume.
Ndio maana wanawake wengi hujipamba na wengine kujiongezea maumbo mbalimbali, ili aweze kuvuta hisia za mwanaume, na kutongozeka.
Asipotongozwa, huwa wanajisikia vibaya na wengine huwa wanakuwa wakali wakali, kwa kuhisi labda ni wabaya.
Kwa hiyo, wanaume tuendelee kutumia nafasi yetu ya kuwatongozwa, ili hawa ndugu zetu waweze kuona dunia ni sehemu sahihi ya kuishi.
Kwa wewe mrembo unayetaka kutongozwa, nyoosha mkono juu π π
Ni kama unatongoza na unakataliwa kwa asilimia kubwa...bonge la mchongo umejiwekea humu kijanja.. kila la kheri
Bibi shkamoo, ππππNi kama unatongoza na unakataliwa kwa asilimia kubwa...bonge la mchongo umejiwekea humu kijanja.. kila la kheri
Naanza na weweNi kama unatongoza na unakataliwa kwa asilimia kubwa...bonge la mchongo umejiwekea humu kijanja.. kila la kheri
Nasubiri majibuNgoja tumuulize figo76 kama analitambua hili
Baadaye atakurudia, huwa wanajiweka 'expensive' wakati mwingineUnamtongoza afu anakupuuza asehπ π π