Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,576
So sad kwa kweli😅😅Basi ndio akupe na hela ,hiz zetu tuna kazi nazo

Huyo ameshaharibika kisaikolojia. Kupata game ni hadi atoe aftatu .Hebu ongea vizuri na huyu kijana ili upate muelimisha namna nzuri ya kuomba gemu.
Ndo hivyo😅Unyama fulani yaani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli. Lakini na mtu ninae mtaka. Sio nilipwe ndo niwe naeSawa si ulisema unataka ule vizuri, unywe vizuri, mitoko isiwe bar za uswazi na vizawadi vya hapa na pale.
Wamesha mezeshwa ujinga na social media za kipuuzi kuelewa ni ngumu.True mzee na ndio maana tunakazana kutoa elimu ili wajifunze
Inaonekana wamekupa uongozi.Wenye pesa hata hawana kelele wapo kimyaaa...wasio nazo sasa 🤣🤣🤣🤣🤣.
Pesa haitaki kelele
Nani kanipa uongozi?😅😅😅Inaonekana wamekupa uongozi.
Ila inaonekan ww zinachaji mbona haupo huko other social media upo huku kwa watu wa nondo ju ya nondo🤜🤛
Wanaamini k zao biashara.Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine linaloonekana kama shida ya msingi, bali ni tabia tu ya kukera.
Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mwanamke kuomba hela, ila nimeamua kuchambua chache ambazo zina uzito sana kwetu sisi wanaume. Na sababu zenyewe ni kama zifuatazo;
1. Mapokeo kuwa baba humpa mama pesa: wanawake wengi especially wa mjini wamekulia familia ambazo wamekuwa wakiona baba ndie anatoa pesa kwa mama na sio kinyume. Hivyo basi na wao wanapofika umri wa mahusiano na kuyaingia hubeba ile culture kama urithi wa mfumo wa mahusiano na ndio maana ni kitu cha kwanza wanachotaka mwanaume awafanyie hata kabla ya kuanza kuishi pamoja.
2. Kuiga wanawake wenzao na kuishi kwa mazoea. Wanawake wengi huwa wanatabia ya kucopy tabia za wanawake wenzao ili waishi ndani ya mfumo wa kike. Miongoni mwa tabia huzibeba ukiacha kujiremba, kuongea, mapozi, na uvaaji, pia kuomba hela ni haiba ambayo huja kama msukumo wa kuiga tabia.
3. Uvivu wa kujitafutia: ni kweli kwamba mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume ila kwa mahitaji ya msingi kama sehemu ya kulala, chakula na mavazi, na ulinzi. Ila kuna muda wanawake wanakuwa na mahitaji ambayo si ya msingi ila watayapa kipaumbele na hapa wanaume hukwepa haya mahitaji. Wanawake wanajua vema tofauti ya mahitaji ya msingi na yasiyo ya msingi. Mahitaji yasiyo ya msingi hutakiwa kutimizwa na wanawake wenyewe sababu mwanaume hawezi yapa kipaumbele na hapo ndipo swala la kuomba hela huja.
4. Uumbaji na akili ya mwanamke: kwa asili wanawake wameumbwa kuwategemea wanaume changamoto ya sasa ni kupitiliza utegemezi kutoka mambo ya msingi kwenda mambo yasiyo ya msingi huku akili zao bado zikiwaambia kuwa mwanaume anawajibika kwa lolote wanalolitaka.
5. Ubinafsi wa kiuchumi: wanawake ni wabinafsi kutokana na asili yao ya utegemezi. Kisaikolojia wanawake kila kinachopatikana aidha akikitafuta pekee yake au akisaidiana na mwanaume basi atataka kiwe chake na matokeo yake hujenga tabia ya kutaka kuendelea kupokea ili kumaintain vile ambavyo anavyo tayari. Ukiwa na milioni ukampa mwanamke laki nane, atataka mtumie ile laki mbili pamoja na ikiisha hatotaka kushare ile laki nane aliyoweka mfukoni kwake.
6. Kupewa ni lugha ya upendo ya wanawake: wanawake huamini kuwa mwanaume anayempenda atampa atakacho. Moja ya kitu wanapenda ni kupewa pesa. Wanaopoomba pesa kiwango wanachopewa na idadi ya mara wanazopewa wao hutafsiri kuwa ni kiwango cha upendo. Kutafuta upendo kwao kwetu wanaume hukaa kama kuomba hela.
7. Ishara ya kumiliki/ kumilikiwa na Mwanaume: Mwanaume huomba pesa kama namna ya kujipa assurance kuwa anapendwa na anamilikiwa na mwanaume fulani. Hii ndio sababu kwann wanawake huchukia ndoa za mke zaidi ya m'moja sababu huhisi mwanaume akianza kumpatia pesa mwanamke mwingine maana yake anampenda kushinda yeye, anam'miliki na yeye huyo mwanaume atamilikiwa na huyo mwanamke. Ndio maana ukimtokea mwanamke Leo mchana usiku anakuomba pesa ya gesi, pesa ya salooni asubuhi na pesa ya kula mchana. Na ukimpatia utashangaa anaanza kukwambia yeye lini utakwenda kufanya nae mchezo mbaya.
Hizo ni sababu chache sana ila zipo nyingine nyingi sana kwann wanawake hupenda kuomba hela. Usishangae wakaja wanawake na baadhi ya wanaume wenye vinasaba vya kike wakasema hizi sababu si za kweli. Ni mwanaume pekee ndie ataelewa hizi sababu na wanawake wenye uwezo wa kutafakari kwa kutumia akili ya logic na sio emotional.
mambo ya kujuan waachie watot wa 2000 huko Fb.😁Nani kanipa uongozi?😅😅😅
Naipenda jf kuliko social media nyingine maana unaongea chochote unachotaka na hakuna anayekujua.
Tujuane for what? 😅mambo ya kujuan waachie watot wa 2000 huko Fb.😁
Uzur wa huku unaweza ukachat na mtu wa kalb ila msijuane maisha😀😀Tujuane for what? 😅
uzur sisi tunawai kufa wao wanawai kuzeeka.😁😁Wanaamini k zao biashara.
Au nikuleteeAcha utani😀
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine linaloonekana kama shida ya msingi, bali ni tabia tu ya kukera.
Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mwanamke kuomba hela, ila nimeamua kuchambua chache ambazo zina uzito sana kwetu sisi wanaume. Na sababu zenyewe ni kama zifuatazo;
1. Mapokeo kuwa baba humpa mama pesa: wanawake wengi especially wa mjini wamekulia familia ambazo wamekuwa wakiona baba ndie anatoa pesa kwa mama na sio kinyume. Hivyo basi na wao wanapofika umri wa mahusiano na kuyaingia hubeba ile culture kama urithi wa mfumo wa mahusiano na ndio maana ni kitu cha kwanza wanachotaka mwanaume awafanyie hata kabla ya kuanza kuishi pamoja.
2. Kuiga wanawake wenzao na kuishi kwa mazoea. Wanawake wengi huwa wanatabia ya kucopy tabia za wanawake wenzao ili waishi ndani ya mfumo wa kike. Miongoni mwa tabia huzibeba ukiacha kujiremba, kuongea, mapozi, na uvaaji, pia kuomba hela ni haiba ambayo huja kama msukumo wa kuiga tabia.
3. Uvivu wa kujitafutia: ni kweli kwamba mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume ila kwa mahitaji ya msingi kama sehemu ya kulala, chakula na mavazi, na ulinzi. Ila kuna muda wanawake wanakuwa na mahitaji ambayo si ya msingi ila watayapa kipaumbele na hapa wanaume hukwepa haya mahitaji. Wanawake wanajua vema tofauti ya mahitaji ya msingi na yasiyo ya msingi. Mahitaji yasiyo ya msingi hutakiwa kutimizwa na wanawake wenyewe sababu mwanaume hawezi yapa kipaumbele na hapo ndipo swala la kuomba hela huja.
4. Uumbaji na akili ya mwanamke: kwa asili wanawake wameumbwa kuwategemea wanaume changamoto ya sasa ni kupitiliza utegemezi kutoka mambo ya msingi kwenda mambo yasiyo ya msingi huku akili zao bado zikiwaambia kuwa mwanaume anawajibika kwa lolote wanalolitaka.
5. Ubinafsi wa kiuchumi: wanawake ni wabinafsi kutokana na asili yao ya utegemezi. Kisaikolojia wanawake kila kinachopatikana aidha akikitafuta pekee yake au akisaidiana na mwanaume basi atataka kiwe chake na matokeo yake hujenga tabia ya kutaka kuendelea kupokea ili kumaintain vile ambavyo anavyo tayari. Ukiwa na milioni ukampa mwanamke laki nane, atataka mtumie ile laki mbili pamoja na ikiisha hatotaka kushare ile laki nane aliyoweka mfukoni kwake.
6. Kupewa ni lugha ya upendo ya wanawake: wanawake huamini kuwa mwanaume anayempenda atampa atakacho. Moja ya kitu wanapenda ni kupewa pesa. Wanaopoomba pesa kiwango wanachopewa na idadi ya mara wanazopewa wao hutafsiri kuwa ni kiwango cha upendo. Kutafuta upendo kwao kwetu wanaume hukaa kama kuomba hela.
7. Ishara ya kumiliki/ kumilikiwa na Mwanaume: Mwanaume huomba pesa kama namna ya kujipa assurance kuwa anapendwa na anamilikiwa na mwanaume fulani. Hii ndio sababu kwann wanawake huchukia ndoa za mke zaidi ya m'moja sababu huhisi mwanaume akianza kumpatia pesa mwanamke mwingine maana yake anampenda kushinda yeye, anam'miliki na yeye huyo mwanaume atamilikiwa na huyo mwanamke. Ndio maana ukimtokea mwanamke Leo mchana usiku anakuomba pesa ya gesi, pesa ya salooni asubuhi na pesa ya kula mchana. Na ukimpatia utashangaa anaanza kukwambia yeye lini utakwenda kufanya nae mchezo mbaya.
Hizo ni sababu chache sana ila zipo nyingine nyingi sana kwann wanawake hupenda kuomba hela. Usishangae wakaja wanawake na baadhi ya wanaume wenye vinasaba vya kike wakasema hizi sababu si za kweli. Ni mwanaume pekee ndie ataelewa hizi sababu na wanawake wenye uwezo wa kutafakari kwa kutumia akili ya logic na sio emotional.
Mara ngapi sasa!!Siku ukiwa na mtoto wa kiume au ukiolewa halafu mumeo akawa anagawa pesa hovyo nje ukija kusoma uzi utauelewa.
Haaaahaaa! du!.Naombeni pesa wandugu
Itapendeza😀Au nikuletee