Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Kuna tofauti moja tu kati ya sis(men) na wanawake
Wao mala zote huwa wanawaza leo wakati mwanaume nawaza maendeleo na namna ya kujikwamua kwenye umaskin, kwaiyo anawaza nitaishije kesho na ntakuwa wapi na hali gani kesho.
Mwanamke ambae hana plan yeyote yeye anawaza kukuomba hela huo ni mzigo broh.
True mzee na ndio maana tunakazana kutoa elimu ili wajifunze.
 
"Kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake" ukiona una lalamika jua kamba yako inakukaba sasa chagua ikuuuwe au uchoropoke ku okoa uhai
Haya matusi ya reja reja sasa.
 
Mimi sio mtu wa kudate na watu wengi. Niliye nae ana pesa ya kawaida tu...napata mahitaji muhimu angalau. Na ikibidi nitoke na mtu kwa kweli haiwezekani awe na pesa ya mawazo...
Sitegemei anipe pesa na wala simsumbui sana kumuomba pesa( naomba nikiwa nina uhitaji wa kweli).

Ila mtu anae lalamika hana pesa kwa kweli anipitie mbali.

Napenda mtoko wa maana sio bar za uswazi, napenda kula vizuri, kunywa kinywaji nipendacho na zawadi za hapa na pale.

Faida ni kupata raha moyoni.

Yaani wewe kama bado unalipia kupata mbususu basi bado una safari ndefu ya kujitafuta.
Khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie endeleeni tu kutoa pesa bwana.
Siku ukiwa na mtoto wa kiume au ukiolewa halafu mumeo akawa anagawa pesa hovyo nje ukija kusoma uzi utauelewa.
 
Hilo ndo tatizo lako. Lazima ununue...

Wenzio wanapewa bure bure.
Hebu ongea vizuri na huyu kijana ili upate muelimisha namna nzuri ya kuomba gemu.
 
Aisee..
Mimi sijataka kununuliwa. Na sidate na mtu kwasababu ya kuhitaji pesa. Nadate na mtu kwa kutaka kuliwa basi...
Unyama fulani yaani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom