Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Wewe hujafika hizo level za upedeshee..bado unajitafuta.
Na umeshajiwekea kulipia mbususu kila unapohitaji. Utajikuta unaangukia kwa wale wa aftatu.
Mbona wewe hujafikia level za kununuliwa na mapedeshee sanasana ni sisi tulio na uwezo kama wa bwana wako uliyemsema na sisemi. Tutunziane siri bwanawee!
 
Mm nimetoka kummwaga binti moja nilikua naye kwenye mahusiano recently kwa tabia yake hyohyo kujiona yeye ndio ana haki sana kuliko mm, wakati muda wote mm km mwanaume nimekua nikiwajibika kwake Lkn sasa yeye mwenzangu HT kujizima data siku moja kuninulia biskuti au HT kalamu hajawahi kudadeki zake , nimemuacha kimyakimya na visimu vyake anavyoendelea kunipigia kila cku hata sina mpango wa kupokea I swear, Bora kudate na watu wazima wanaoelewa maisha jmn wanaume wenzangu mm nimejitosa
Hautaki mizaa ya kipuuzi kabisa mzee.
 
Sababu kubwa ni njaa ambayo IPO katika akili zao and nothing else.

Unakuta MTU anaomba mambo ambayo ni madogo unabaki kushangaa

Vocha
Kusuka
Mavazi
Kodi
Chakula

MTU Kama huyu anaomba mambo madogo Kama hayo na haujamuoa
Na hapa ndipo huwa hawaelewi wanaume wakisema wanatafsiri kuwa wanaletewa njaa.
 
Back
Top Bottom