Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

Hata Ke wa 1920-1980 walikuwa wanaomba sana pesa na kunyaduliwa nnje kwa siri isipokuwa Ke wa 2000s wanaumbuka sababu ni utandawazi.
Ke azae kwa uchungu = Apewe matunzo na Me..
Me ale kwa jasho = Awajibike kimatunzo kwa Ke na Watoto.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna tofauti ya sasa na kipindi hicho. Kipindi hicho wanawake wa sasa wanafanya extortion na sio kuomba mahitaji.
 
Baadhi ya wadada nawashangaa, hawasubiri mpaka uwatongoze ndo waombe hela, utakuta mdada unafanya nae kazi sehemu moja, huna mazoea nae kihivyo, hujawahi kumuomba namba, hujawahi kumtongoza, wala kuonesha nia ya kumtongoza, zaidi mkikutana ni chit chat ya hapa na pale, kama mtu unavoweza kuongea na mwanaume mwenzako.

Unakuta siku akikuona, out of nowhere anakuomba hela, au anaomba umnunulie kitu flani kidogo tu, tena usipompa, ukimuahidi utampa kesho ili kesho ikifika asahau, kesho yake anakukumbushia , wazee hii imekaaje.

Kelsea ledada Zemanda Extrovert Natafuta Ajira ephen_ Demi mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania Leejay49 Numbisa Shunie Evelyn Salt
Wapo desperate na tamaa zao kupewa kipaumbele. Nadhani wanafanya hivyo kama matokeo ya hofu ya kukosa so wanafosi.
 
Mkuu wanawake wao wanacho jua Mwanaume anakuwa na pesa muda wote, Mpenzi wangu nilimwambia je nikikuomba pesa utanipa yeye akanijibu atagemei kama kuna siku nitamuomba pesa na anaamini mwanamke atakiwi kumpa pesa Mpezi wake. Mimi nikabaki na mshangao mkubwa kumbe Mwanaume hutakuwi kumuomba pesa Mpenzi wako,
Ukiwaomba wao wanarudisha akili za asili ila wao wakiwa wanaomba wanaume huwa wanajitoa ufahamu na kujifikirisha vitu vya tofauti ambavyo havimake sense.
 
Km una shida we muombe pesa. usiamini maneno ya mwanamke angalia matendo yake,
usiogope muombe pesa pale ambapo serious una shida nayo, then see her reaction.
Usifadhaike na majibu yake, huwa hawamaanishi.
Hawezi kukuelewa. Usijaribu kuomba pesa kwa mwanamke atakufedhehesha na atakushusha thamani. Hata kama ni hela kidogo.
 
Mwanamke asiye na tamaa hawezi kukupiga vizinga, period. Hawa wengine ni wa kuhit and run. Mwanamke halisi kazi yake ni ku nurture kile mwanaume ametafuta na sio kukitumia kwa manufaa yake binafsi. Kutofautisha hapo lazma uwe na self awareness ya hali ya juu na hisia zisikucontrol
Ni kweli kabisa.
 
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine linaloonekana kama shida ya msingi, bali ni tabia tu ya kukera.

Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mwanamke kuomba hela, ila nimeamua kuchambua chache ambazo zina uzito sana kwetu sisi wanaume. Na sababu zenyewe ni kama zifuatazo;

1. Mapokeo kuwa baba humpa mama pesa: wanawake wengi especially wa mjini wamekulia familia ambazo wamekuwa wakiona baba ndie anatoa pesa kwa mama na sio kinyume. Hivyo basi na wao wanapofika umri wa mahusiano na kuyaingia hubeba ile culture kama urithi wa mfumo wa mahusiano na ndio maana ni kitu cha kwanza wanachotaka mwanaume awafanyie hata kabla ya kuanza kuishi pamoja.

2. Kuiga wanawake wenzao na kuishi kwa mazoea. Wanawake wengi huwa wanatabia ya kucopy tabia za wanawake wenzao ili waishi ndani ya mfumo wa kike. Miongoni mwa tabia huzibeba ukiacha kujiremba, kuongea, mapozi, na uvaaji, pia kuomba hela ni haiba ambayo huja kama msukumo wa kuiga tabia.

3. Uvivu wa kujitafutia: ni kweli kwamba mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume ila kwa mahitaji ya msingi kama sehemu ya kulala, chakula na mavazi, na ulinzi. Ila kuna muda wanawake wanakuwa na mahitaji ambayo si ya msingi ila watayapa kipaumbele na hapa wanaume hukwepa haya mahitaji. Wanawake wanajua vema tofauti ya mahitaji ya msingi na yasiyo ya msingi. Mahitaji yasiyo ya msingi hutakiwa kutimizwa na wanawake wenyewe sababu mwanaume hawezi yapa kipaumbele na hapo ndipo swala la kuomba hela huja.

4. Uumbaji na akili ya mwanamke: kwa asili wanawake wameumbwa kuwategemea wanaume changamoto ya sasa ni kupitiliza utegemezi kutoka mambo ya msingi kwenda mambo yasiyo ya msingi huku akili zao bado zikiwaambia kuwa mwanaume anawajibika kwa lolote wanalolitaka.

5. Ubinafsi wa kiuchumi: wanawake ni wabinafsi kutokana na asili yao ya utegemezi. Kisaikolojia wanawake kila kinachopatikana aidha akikitafuta pekee yake au akisaidiana na mwanaume basi atataka kiwe chake na matokeo yake hujenga tabia ya kutaka kuendelea kupokea ili kumaintain vile ambavyo anavyo tayari. Ukiwa na milioni ukampa mwanamke laki nane, atataka mtumie ile laki mbili pamoja na ikiisha hatotaka kushare ile laki nane aliyoweka mfukoni kwake.

6. Kupewa ni lugha ya upendo ya wanawake: wanawake huamini kuwa mwanaume anayempenda atampa atakacho. Moja ya kitu wanapenda ni kupewa pesa. Wanaopoomba pesa kiwango wanachopewa na idadi ya mara wanazopewa wao hutafsiri kuwa ni kiwango cha upendo. Kutafuta upendo kwao kwetu wanaume hukaa kama kuomba hela.

7. Ishara ya kumiliki/ kumilikiwa na Mwanaume: Mwanaume huomba pesa kama namna ya kujipa assurance kuwa anapendwa na anamilikiwa na mwanaume fulani. Hii ndio sababu kwann wanawake huchukia ndoa za mke zaidi ya m'moja sababu huhisi mwanaume akianza kumpatia pesa mwanamke mwingine maana yake anampenda kushinda yeye, anam'miliki na yeye huyo mwanaume atamilikiwa na huyo mwanamke. Ndio maana ukimtokea mwanamke Leo mchana usiku anakuomba pesa ya gesi, pesa ya salooni asubuhi na pesa ya kula mchana. Na ukimpatia utashangaa anaanza kukwambia yeye lini utakwenda kufanya nae mchezo mbaya.

Hizo ni sababu chache sana ila zipo nyingine nyingi sana kwann wanawake hupenda kuomba hela. Usishangae wakaja wanawake na baadhi ya wanaume wenye vinasaba vya kike wakasema hizi sababu si za kweli. Ni mwanaume pekee ndie ataelewa hizi sababu na wanawake wenye uwezo wa kutafakari kwa kutumia akili ya logic na sio emotional.
Mm nimetoka kummwaga binti moja nilikua naye kwenye mahusiano recently kwa tabia yake hyohyo kujiona yeye ndio ana haki sana kuliko mm, wakati muda wote mm km mwanaume nimekua nikiwajibika kwake Lkn sasa yeye mwenzangu HT kujizima data siku moja kuninulia biskuti au HT kalamu hajawahi kudadeki zake , nimemuacha kimyakimya na visimu vyake anavyoendelea kunipigia kila cku hata sina mpango wa kupokea I swear, Bora kudate na watu wazima wanaoelewa maisha jmn wanaume wenzangu mm nimejitosa 😜
 
Baadhi ya wadada nawashangaa, hawasubiri mpaka uwatongoze ndo waombe hela, utakuta mdada unafanya nae kazi sehemu moja, huna mazoea nae kihivyo, hujawahi kumuomba namba, hujawahi kumtongoza, wala kuonesha nia ya kumtongoza, zaidi mkikutana ni chit chat ya hapa na pale, kama mtu unavoweza kuongea na mwanaume mwenzako.

Unakuta siku akikuona, out of nowhere anakuomba hela, au anaomba umnunulie kitu flani kidogo tu, tena usipompa, ukimuahidi utampa kesho ili kesho ikifika asahau, kesho yake anakukumbushia 😁, wazee hii imekaaje.

Kelsea ledada Zemanda Extrovert Natafuta Ajira ephen_ Demi mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania Leejay49 Numbisa Shunie Evelyn Salt
Kero kbsa hyo mkuu
 
Sababu kubwa ni njaa ambayo IPO katika akili zao and nothing else.

Unakuta MTU anaomba mambo ambayo ni madogo unabaki kushangaa

Vocha
Kusuka
Mavazi
Kodi
Chakula

MTU Kama huyu anaomba mambo madogo Kama hayo na haujamuoa 😁😁
 
Mm nimetoka kummwaga binti moja nilikua naye kwenye mahusiano recently kwa tabia yake hyohyo kujiona yeye ndio ana haki sana kuliko mm, wakati muda wote mm km mwanaume nimekua nikiwajibika kwake Lkn sasa yeye mwenzangu HT kujizima data siku moja kuninulia biskuti au HT kalamu hajawahi kudadeki zake , nimemuacha kimyakimya na visimu vyake anavyoendelea kunipigia kila cku hata sina mpango wa kupokea I swear, Bora kudate na watu wazima wanaoelewa maisha jmn wanaume wenzangu mm nimejitosa 😜
Tafta lishangaz mkuu hutajutia hawa wa 2000 ulimbukeni mwingi na njaa zinawasumbua
 
Baadhi ya wadada nawashangaa, hawasubiri mpaka uwatongoze ndo waombe hela, utakuta mdada unafanya nae kazi sehemu moja, huna mazoea nae kihivyo, hujawahi kumuomba namba, hujawahi kumtongoza, wala kuonesha nia ya kumtongoza, zaidi mkikutana ni chit chat ya hapa na pale, kama mtu unavoweza kuongea na mwanaume mwenzako.

Unakuta siku akikuona, out of nowhere anakuomba hela, au anaomba umnunulie kitu flani kidogo tu, tena usipompa, ukimuahidi utampa kesho ili kesho ikifika asahau, kesho yake anakukumbushia 😁, wazee hii imekaaje.

Kelsea ledada Zemanda Extrovert Natafuta Ajira ephen_ Demi mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania Leejay49 Numbisa Shunie Evelyn Salt

Inshort ni njaa ambayo IPO katika akili zao.

Na njaa ya kwenye akili inakufanya umuombe mgonjwa aliyelazwa damu.

Hivyo ukiwa kazini unabidi usitongoze mwanamke yeyote ili kulinda uchumi wako.
 
Back
Top Bottom