mbona nnimeshashuhudia mafala kadhaa wakijishughulisha na forexWe unadhani forex wanafanya mafala,
Hiyo sio betting mjomba.
mbona nnimeshashuhudia mafala kadhaa wakijishughulisha na forexWe unadhani forex wanafanya mafala,
Hiyo sio betting mjomba.
hahah nadhani mitazamo tofauti.Tatizo ancestors mkuu unaweza kudhan wewe ndio uliamua kumbe kuna wapuuzi walikakaa kwenye kichuguu usiku wa manane kijijini kwenu wanaulizana huyu pimbi kafikaje states na tumrejeshe haraka
karibuChai ☕️
ooh huenda sipo sahihi. hebu nifafanulie huo urahisi unatoka wapi?Kumiliki nyumba usa ni rahisi kuliko kumilili nyumba masaki ama. Kariakoo
kwanini usa river na siyo us? unaichukuliaje us? mitazamo yetu tofauti.Mtoa mada anazungumzia " USA-RIVER"
Yaani kama ameweza "kumiliki nyumba mbili Oysterbay ya JF" ndiyo ashindwe USA? AY mwenyewe ana nyumba USA ,EBM Makulilo ana nyumba USA tena ya ghorofa!! Ukiuza kiwanja tu k/koo unanua nyumba US tena beach front.Kumiliki nyumba usa ni rahisi kuliko kumilili nyumba masaki ama. Kariakoo
Ulipataje hela za kuweza kumiliki nyumba Oysterbay? Kama utasema ni siri yako basi haina haja kutujuza kuwa unamiliki nyumba OysterbayHabari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana.
Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu.
Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa na mipango ya muda mrefu US. Hali kwangu ilikuwa tofauti sana. Kwa mara ya kwanza nikawa tofauti na wengi sana kimtazamo.
Na hili nitalidadavua leo hapa. Mimi nilikuwa na sababu zangu, ingawa wengine waliona za kipuuzi.
Kwanza niligundua si rahisi kumiliki nyumba ya kuishi kwa wakati huo, na hata sasa si rahisi, kutokana na vyanzo vinavyoaminika. Mimi napenda mno kitu kinachoitwa kumiliki nyumba. Na hili limefanya nijinyime, nidundulize, na kufanikiwa kumiliki nyumba mbili Oysterbay (kwa jasho langu mwenyewe), pamoja na maeneo mengine mengi DSM.
Ile hali ya ugumu wa kumiliki nyumba ilinikatisha sana tamaa. Sikukaa miaka mingi, nikaanza kuichukia sana America. Mpaka leo nadhani hapanishtui; bado ile hali ya kutopapenda ipo, ingawa nikiamua kwa hali ya sasa naweza kununua nyumba.
Huwa nafikiria na kujiuliza, sijui nirudi nikaishi US upya au nighairi. Ila najikuta naghairi, ukizingatia umri umesogea mno. Napenda mno kitu kinachoitwa "kumiliki nyumba."
Wenzangu (RIP) walibaki wakaendelea na maisha, lakini mimi nikaona nirudi nyumbani nitumie fursa za hapa, kwa sababu niliona ni rahisi kumiliki nyumba kuliko kule US.
So napachukia bado till to date. 😄
Nawaheshimu sana wanaomiliki majengo US.
Na wish siku moja moyo wangu ufunguke nipapende tu US, ila nadhani nimetokea kutopaelewa.
ni wapi huko?Jirani na kwa MROMBOO.. 😂
watanzania bhan... kuna ugumu kumiliki kitu chochote, si ardhi tu. ni lazima ujinyime hasa kwa watu kama sisi tusiopenda spoon feeding.labda Makulu Oysterbay ya Dodoma japo napo pagumu kwa choka mbaya kumiliki ardhi
kuna Mnigeria mmoja ni mbeba box, ana account yake platform fulani, anadai anamiliki nyumba.Inategemeana na kazi yako.
Kuna kazi zinalipa balaa, kumiliki nyumba ni ndani ya mwaka tu.
Ila ukiwa mbeba mabox, sahau.
Ni soko huru hivyo yeyote anaweza jumuika, nilichokuwa najibu ni huyo anayeshangaa mtu anamiliki nyumba Oysterbay afu anafanya forex,mbona nnimeshashuhudia mafala kadhaa wakijishughulisha na forex
kaka, kwani hela zinapatikanaje? kwa mtazamo wako wewe?Ulipataje hela za kuweza kumiliki nyumba Oysterbay? Kama utasema ni siri yako basi haina haja kutujuza kuwa unamiliki nyumba Oysterbay
una ugonjwa uitwao kulazimisha mitazamo ifanane. kwa nini unasema niamke usingizini? kwa faida ipi?Dogo amka kesho urudi shuleni
Mpaka umiliki nyumba Oysterbay ni hela ndefu. Utakuwa ni drug trafficker tu wewekaka, kwani hela zinapatikanaje? kwa mtazamo wako wewe?
Huwezi kupata nyumba mbili Oysterbay kwa kujinyima. Ukijinyima utapata nyumba labda Vikindu au Chanika.watanzania bhan... kuna ugumu kumiliki kitu chochote, si ardhi tu. ni lazima ujinyime hasa kwa watu kama sisi tusiopenda spoon feeding.
Wako wengi sana na ni tena ni asilimia 95% dunia nzima ni mafalaWe unadhani forex wanafanya mafala,
Hiyo sio betting mjomba.