Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Hakyanani.........vituko havitaisha daima dumu
KISIASA !? Hajavaa sanda labda urudi ktk hoja ya msingi tuwe wote pamoja.wewe kujua tu amevaa sanda kisiasi ni ushahidi tosha yuko juu kwa mtazamo wako labda uniambie hujui tunamuongelea lowasa gani?ah kama umuelewe ni lowasa gani tunakuomba uvumilie kidogo hadi umjue.kama utafanikiwa kumuelewa basi karibu uchangie hoja.MIMI LOWASA NIMEMKUBALI KUWA RAIS WETU 2015 JE UNAJUA UDHAIFU WAKE na UWEZO WEKE UTWAMBIE TUWE PAMOJA.AHSANTE
Hakyanani.........vituko havitaisha daima dumu
![]()
Hapo jk ametumia mkono wa kushoto kumsifia lowasa asiye na sifa husika!!!! du! kweli kumkoma nyani jiladi.
Kijana kama unataka tutoke hapa tulipokwama kama taifa unapaswa kujua tatizo lililotufikisha hapa. Kimsingi tatizo si Lowasa au Kikwete ila mfumo ulio chini ya chama tawala, tukifanikiwa kubadili mfumo uliopo na kuweka mfumo mpya wenye kiu ya maendeleo tutatoka hapa tulipo.Hello nathubu, nitaweza na kuendelea kuamini lowasa anastahili urais 2015.kwanza naamini ktk jf kuna watu wenye kuweza kutafakari hoja inayokuja ktk hali halisi na vinginevyo,natahadharisha wale wenye hoja zinazotawaliwa zaidi na hisia,itikadi,ushabiki,chuki,msimamo butu,na utegemezi wa fikra za taarifa za magazeti ambayo hayako huru kihabari, N.K
nasikitika kuwajuza hawaitajiki ktk kuchangia hoja hii ambayo inahitaji fikra zilizo huru na kujituma kutafuta ukweli uliojificha katika kila jambo lilofikishwa kwetu.Lowasa na tanzania yetu ni kiongozi ambaye ndiyo tunaye muhitaji ktk kufikia lengo ambalo kwa pamoja watanzania tunakubaliana kuwa rasilimali zetu ambazo hazina haja kuzichambua hapa, zikipata kiongozi mwenye uwezo wa kuamua maamuzi magumu yenye lengo la kusimamia na kuboresha rasilimali zetu kuwa ni sababu ya kubadilisha maisha yetu kuwa bora na yenye tija kwa undelezaji na ukuaji wa uchumi wa taifa letu.
Lowasa ni kiongozi ambaye ana vigezo vya kutosha mahitaji ya utekelezaji wa hili.kwa msisitizo tuwe huru kifikra tusitekwe na matokeo ya jambo lolote linalo elekezwa kwa mwanasiasa ambaye amelitumikia taifa hili toka enzi ya utawala wa mwalimu na kufikia kupewa dhamana ya cheo cha uwaziri mkuu wa taifa taifa letu na kuthubutu kujiuzuru kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja ituaminishe haraka kwamba hafai si mtazamo sahihi wa jamii yenye fikra huru.
changamoto iliyo mbele yetu ni kufanya Tafakari kwa tafiti za kina na adidu rejea za utendaji wake kwa kuanisha uwezo wake na udhaifu alio nao je? unaweza kuwa kipimo cha kuonekana hatufai kuwa Rais wetu kama akitumia haki yake ya kikatiba ya chama chake na ya nchi yake kuomba nafasi hiyo na sisi tukatumia haki yetu kwa kumkubali kwa sababu ya kutimiza vigezo vinavyo hitajika na taifa letu.kwa leo tuanze na utafiti wa kutazama udhaifu wake alionao na uwezo wake kwa kutazama adidu rejea ya utendaji kazi wake ktk dhamana zote aliwahi kuaminiwa na marais wote wa taifa letu toka tupate uhuru.
ni mwiko kutoa tafiti ya upande mmoja wa vigezo hivyo viwili.udhaifu na uwezo wake.zingatia ushahidi wa tafiti yako ni lazima na chanzo chake ukitambulishe ili ufatiliaji ufanyike kabla ya kuchangia hoja nyingine.Mimi niko huru na nitambua LOWASA ANATUFAA KUWA RAIS WETU 2015 KAMA AKITAKA KUTUMIA HAKI YAKE.
ndiyo maana nasema Lowasa Nimemkubali.ahsante.
Wanaompinga Lowasa hawana hoja za msingi zaidi ya matusi. Mi nishasema mara kibao watuletee ushahidi wa tuhuma zao. Hakuna wanachofanya. Pigeni kelele, lakini matokeo ya ukweli yanakuja.
hebu wee mpe mtoto wako wa kike uone
Ndani ya ccm hakuna aliye msafi, kama kweli tumechoka na uchafu basi wa kutoswa si EL peke yake bali ccm yote inapaswa kutoswa, mimi simtetei EL ila nashangaa wanaokataa kuona ukweli kwamba hata Richmond hakupaswa kubeba hilo zigo peke yake bali ilipaswa kuanzia kwa mkuu wa kaya. Tuiondoe ccm maana imeshindwa kutuhudumia sisi waajiri badala yake imegeuka na kuwa mtetezi wa wezi, wawekezaji feki nk. leo tunajiandaa kulipa bei kubwa ya umeme kwasababu ya ccm na serikali yake.Unadhani waliomnyima nishani walikosea?? hapana...wanamjua kwamba hafai hata kwa bure. Hata huyo aliyesema kwamba "hatukujuana barabarani" alimtosa pia kwa kujua tabia yake ilivyo chafu. Huyo ni wa kupumzika tu sasa maana hata afya yenyewe mgogoro
ushahidi unapatikana kwenye ripoti ya mwakyembe iliyopitishwa na bunge letu tukufu.
Hello nathubu, nitaweza na kuendelea kuamini lowasa anastahili urais 2015.kwanza naamini ktk jf kuna watu wenye kuweza kutafakari hoja inayokuja ktk hali halisi na vinginevyo,natahadharisha wale wenye hoja zinazotawaliwa zaidi na hisia,itikadi,ushabiki,chuki,msimamo butu,na utegemezi wa fikra za taarifa za magazeti ambayo hayako huru kihabari, N.K nasikitika kuwajuza hawaitajiki ktk kuchangia hoja hii ambayo inahitaji fikra zilizo huru na kujituma kutafuta ukweli uliojificha katika kila jambo lilofikishwa kwetu.Lowasa na tanzania yetu ni kiongozi ambaye ndiyo tunaye muhitaji ktk kufikia lengo ambalo kwa pamoja watanzania tunakubaliana kuwa rasilimali zetu ambazo hazina haja kuzichambua hapa,zikipata kiongozi mwenye uwezo wa kuamua maamuzi magumu yenye lengo la kusimamia na kuboresha rasilimali zetu kuwa ni sababu ya kubadilisha maisha yetu kuwa bora na yenye tija kwa undelezaji na ukuaji wa uchumi wa taifa letu,Lowasa ni kiongozi ambaye ana vigezo vya kutosha mahitaji ya utekelezaji wa hili.kwa msisitizo tuwe huru kifikra tusitekwe na matokeo ya jambo lolote linalo elekezwa kwa mwanasiasa ambaye amelitumikia taifa hili toka enzi ya utawala wa mwalimu na kufikia kupewa dhamana ya cheo cha uwaziri mkuu wa taifa taifa letu na kuthubutu kujiuzuru kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja ituaminishe haraka kwamba hafai si mtazamo sahihi wa jamii yenye fikra huru,changamoto iliyo mbele yetu ni kufanya Tafakari kwa tafiti za kina na adidu rejea za utendaji wake kwa kuanisha uwezo wake na udhaifu alio nao je? unaweza kuwa kipimo cha kuonekana hatufai kuwa Rais wetu kama akitumia haki yake ya kikatiba ya chama chake na ya nchi yake kuomba nafasi hiyo na sisi tukatumia haki yetu kwa kumkubali kwa sababu ya kutimiza vigezo vinavyo hitajika na taifa letu.kwa leo tuanze na utafiti wa kutazama udhaifu wake alionao na uwezo wake kwa kutazama adidu rejea ya utendaji kazi wake ktk dhamana zote aliwahi kuaminiwa na marais wote wa taifa letu toka tupate uhuru.ni mwiko kutoa tafiti ya upande mmoja wa vigezo hivyo viwili.udhaifu na uwezo wake.zingatia ushahidi wa tafiti yako ni lazima na chanzo chake ukitambulishe ili ufatiliaji ufanyike kabla ya kuchangia hoja nyingine.Mimi niko huru na nitambua LOWASA ANATUFAA KUWA RAIS WETU 2015 KAMA AKITAKA KUTUMIA HAKI YAKE.ndiyo maana nasema Lowasa Nimemkubali.ahsante.
UFISADI WA LOWASSA HUU HAPA:1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania.Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.2. Ufisadi wa Nyumba ya SanaaLowassa amehisika kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Movenpik Hotel (zamani Serena Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.4. Land grabbingAlipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.5. RichmondLowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu. 6. Need I say more? Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.Wanaompinga Lowasa hawana hoja za msingi zaidi ya matusi. Mi nishasema mara kibao watuletee ushahidi wa tuhuma zao. Hakuna wanachofanya. Pigeni kelele, lakini matokeo ya ukweli yanakuja.