Sababu 6 kwanini huolewi

Sababu 6 kwanini huolewi

Aaah wapi... Ingekuwa hivyo walokole wengi wangeolewa. Lakin wao ndio wanaoongoza kukesha kanisani kuomva wapate waume.

Kuolewa hakuna formula...
Huoni kama wanafanya jambo la maana kukesha kanisani wakiomba kwa ajili ya waume bora
 
Haya mambo bana. Nina cousins wawili wako 28-29. Mmoja ana kila sifa zilizotajwa hapo juu, na zingine zote ambazo jamii inazi-disqualify kama sifa za kuolewa, ila miaka kibao saivi yuko ndoani.

Wa pili ana kila sifa ambayo unadhani anafaa kuwa nayo mke. Elimu, maadili, exposure, dini, utulivu, you name it all. Ila mpaka leo bado yupo.

I think sometimes most brothas freak out when they come across a nearly perfect mama. Most of these mamas are a turn off somehow.
 
Hayo uliyoyaandika yote hayana ukweli.
Kuolewa au kuoa ni uamuzi wa MTU binafsi.
Na siyo kweli kwamba ukiona mwanamke yupo mwenyewe basi ukadhani anataka kuolewa,That's a BIG NO.
 
Aaah wapi... Ingekuwa hivyo walokole wengi wangeolewa. Lakin wao ndio wanaoongoza kukesha kanisani kuomva wapate waume.

Kuolewa hakuna formula...
Nimecheka kweli kweli upo sawa mamito, haya mambo hayana fomula kwanza machakalamu wanaolewa mapema kuliko watakatifu
 
Huoni kama wanafanya jambo la maana kukesha kanisani wakiomba kwa ajili ya waume bora

Hakuna lolote, tena wao ndio huangulia pua asikwambie mtu... Maana ni rahisi sana kunasika kwa wanaume viwembe... Fanya uchunguzi maana akiambiwa nakuoa anakubali akidhani ndio mume mwema aliyekuwa anamuomba kwa kukesha kanisani.
 
Huoni kwamba wanaume kwa case hiyo ndo cio wakweli
 
Back
Top Bottom