1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!
Nguvu ya umma ikitumika wanaweza kushtakiwa mahakamani kwa kuiibia serikali. CDM komaeni kwani karani wa serikali anayeiba laki 1 anafungwa miaka.