Kipenzi wa watu gani? labda mafisadi, ametaenda mengi mabaya mkapa amecha kiberiti tulikuwa tunanunua TZS 25 sasa TZS50 mchele TZS650 sasa TZS1400..barabara za lami nenda Arusha mji unaoitwa wa kitarii katikati ya mji vumbi na kwenye lami hata mikokoteni nishida kupishana....maendeleo ya sekondari kufundishwa na form six walio feri....JK Rais kipenzi cha waatu, ametenda mengi katika miaka mitano iliyopita, kupambana na rushwa na ufisadi ni mengi kati ya mengi, ujenzi wa shule za sekondari,vyuo vikuu, barabara za lami, changalawe, ameimarisha demokrasia, utawala bora ndo usiseme, uhuru wakuabudu, kuandika na kutoa habari, wasanii na michezo,kaboresha na amejipanga zaidi kutoa ajira zaidi ya awali, chagua JK kwa maisha bora na maendeleo ya taifa, chagua CCM pamoja twasonga mbele
JK Rais kipenzi cha waatu, ametenda mengi katika miaka mitano iliyopita, kupambana na rushwa na ufisadi ni mengi kati ya mengi, ujenzi wa shule za sekondari,vyuo vikuu, barabara za lami, changalawe, ameimarisha demokrasia, utawala bora ndo usiseme, uhuru wakuabudu, kuandika na kutoa habari, wasanii na michezo,kaboresha na amejipanga zaidi kutoa ajira zaidi ya awali, chagua JK kwa maisha bora na maendeleo ya taifa, chagua CCM pamoja twasonga mbele
JK Rais kipenzi cha watu, ametenda mambo mengi katika miaka mitano iliyopita, kupambana na rushwa na ufisadi ni mengi kati ya mengi, ujenzi wa shule za sekondari,vyuo vikuu, barabara za lami, changarawe, ameimarisha demokrasia, utawala bora ndo usiseme, uhuru wakuabudu, kuandika na kutoa habari, wasanii na michezo,kaboresha na amejipanga kutoa ajira zaidi ya awali, chagua JK kwa maisha bora na maendeleo ya Taifa. Chagua CCM. Pamoja twasonga mbele.
Mdau una maana gani unaposema urais na uswahili wapi na wapi, mlitaka ikulu itawaliwe na non muslim peke yao? Iweje anapoingia muislam aitwe mswahili? Acheni majungu mtagawa nchi tumewashitukia na mkimwaga mboga tutamwaga ugali
Mdau una maana gani unaposema urais na uswahili wapi na wapi, mlitaka ikulu itawaliwe na non muslim peke yao? Iweje anapoingia muislam aitwe mswahili? Acheni majungu mtagawa nchi tumewashitukia na mkimwaga mboga tutamwaga ugali
ngoja nikamuulize baba,maana yeye amesomea economics, na pia ni kada wa chama wa muda mrefu na hususana katika kupinga lushwa na utekelezaji wa sera za baba wa taifa za kujitegemea kwa kuiza trc kwa rites na baadae kusimamisha safari , halafu tukaitengeneza kwa mabilioni maana mwekezaji alishindwa lakini ana sifa kubwa tu ya uendeshaji wa reli huko india na atcl kumuweka rafiki yangu toka shule ya upili kibaha ambaye kama ujuavyo ameweza kuitumia vizuri tu hela yote tulio toa mtaji kwa atcl kiasi kwamba sasa hivi tunayo nembo ya twiga ingawa ndege haziruki, lakini mkitupa miaka mingine 5 tutanza kurusha ndege zetu tena maana mtaji tulisha pata kutokana na matumizi mazuri ya lafiki ya daudi mabata.August,
Kipimo cha maisha bora ni nini?
Je wingi na msongamano wa magari ni kiashiria cha maisha bora maana nimesikia ikisemwa kuwa magari yameongezeka sana kipindi hiki.