Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule,
---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---View attachment 3624173