Saadi Gaddafi aitisha Libya

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Libya imeilalamika kwa Niger juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger. Akihojiwa na televisheni moja ya Kiarabu, Saadi Gaddafi alitishia kuongoza vita dhidi ya serikali ya Libya.

Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.

Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde.

hii news mbona kama siielewi huyo dogo si alishakamatwa! inakuwaje tena anaishi uhamishoni?
 
Libya imeilalamika kwa Niger juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger. Akihojiwa na televisheni moja ya Kiarabu, Saadi Gaddafi alitishia kuongoza vita dhidi ya serikali ya Libya.

Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.

Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde.
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....
 
Mkuu nadhani Muamar Gaddafi hakuwa na mtoto mmoja wa kiume, mmoja wa watoto wake ni Saadi Gadafi na mwingine Saif Al Islam, jaribu kutafuta habari kuhusu hawa jamaa ujue ni yupi anaishi kabla ya wakti.
 
Haahaa! Kuna watu wana moyo sana. Yeye haogopi yaliyomkuta baba yake na kaka zake? I thought angelijaribu kutafuta suluhu ili awe mpinzani anayetambulika kuliko kupigana vita? Well, sometime we are masters of our own fate!!!
 
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....
Saadi Gaddafi threatens counter revolution

February 13, 2012 11:41Am
SAADI Gaddafi, the exiled son of Libya's former leader, Muammar Gaddafi, has warned of a counter-revolution, as the country prepares to celebrate the first anniversary of the uprising that led to the overthrow of his father.

The Financial Times reports that the 38-year-old, self-styled former footballer spoke to the pan-Arab Al-Arabiya news channel by telephone from his home in the Niger capital Niamey, and said he would return to Libya "soon".

He also warned that there were plans for attacks against the interim authorities, the National Transitional Council (NTC).

"I will return to Libya at any time," Saadi Gaddafi is quoted as saying, adding that most Libyans, including members of the NTC were frustrated by the country's political situation and were prepared to take up arms again.

"There is a rebellion that is going on day after day and there will be a rebellion in the entire country."

CNN says that since the comments were aired, Libya's interim leaders claimed that Saadi Gaddafi's telephone connection was cut and he has been placed under house arrest. They also renewed their demand for Niger's government to arrest him.

Saadi Gaddafi has been in Niger since September, CNN explains. He has been granted asylum but the NTC claims his comments on a new uprising were "considered a violation of the terms of his residency granted by Niger".
 
Watamtumia majasusi waende kummaliza huko Niger asipokuwa makini, anacheza na CIA huyu.
Ni heri angefanya kimya kimya, which sidhani kama ingemake any difference, unless na yeye ana sapoti ya mojawapo ya hao "super powers."
 
Uzushi mtupu.
Kazi ya simple minders ndio kama hii yako,unakuwa mvivu wa kusoma na kutafuta taarifa mbalimbali afu unawaambia wenzio wazushi wakati wewe ndio mzushi mkubwa.
Je unaielewa idadi ya watoto wa marehemu ghaddafi?
 
nadhani unaishi nyuma ya historia habari hii ilishatoka siku nyingi kwa taarifa yako mtoto wa gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... Kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....

hapana wala haishi nyuma ya historia .....mtoto wa gaddafi aliyekamatwa ni saif al islam na si saad gaddafi
 
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....

source: bbc swahili kaka tembelea www.bbcshwahili.com
 
Back
Top Bottom