Saadi Gaddafi aitisha Libya

Haahaa! Kuna watu wana moyo sana. Yeye haogopi yaliyomkuta baba yake na kaka zake? I thought angelijaribu kutafuta suluhu ili awe mpinzani anayetambulika kuliko kupigana vita? Well, sometime we are masters of our own fate!!!


Ndo ubaya wa kulewa madaraka na hapa ndio kawehuka kabisa...............aende wakamchinje na yeye kama kuku!
 
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....

hii taarifa ni sahihi we fuatilia newz mkuu
 
Poor arabs.wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.ndugu zetu hawa wanachezewa na watu wa magharibi bila kujijua.maneno matakatifu yaliwataka waishi maisha ya kiislaam.kwa sababu wameyakanusha,ndio yanawakuta,watapigana wenyewe kwa wenyewe,watauwana,wataendelea kuwatajirisha wamagharibi mpaka.
 
Haya Nimekubaliiiiiiiiii msije kuniuwa tu dah! wachangiaji mbona mmenijia juu hivi ok Sawasawa nimeshaelewa...
 
AMENIKUMBUSHA BABA YAKE WAPINZANI WAKE WALIVOKARIBIA TRIPOLI AKATANGAZA MSAMAHA/AMNESTY kwa watakaoweka silaha chini, naye aendelee na ndoto zake dreams can come true
:eyebrows:
 
Back
Top Bottom