Saa zenye uwezo wa Smartphone (smartwatch)

Saa zenye uwezo wa Smartphone (smartwatch)

ommyjr

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
85
Reaction score
85
Smartwatch Dz09 2017

Saa yenye uwezo mkubwa kulingana na Smartphone

Ina sifa na Uwezo wa Smartphone ya Kawaida

Connect via bluetooth

Kupiga na Kupokea simu

Kuskiliza Music

Memory Card

Notifications Alert

Kutuma na kupokea Msg

Whatsapp and Facebook notifier

Camera

Internet (Web Browser)

Screen protector

Rangi: Gold, Black and Silver

Free delivery in DSM ( Hakuna gharama za kuletewa)

Mikoani tunatuma (Gharama kulingana na Umbali)

Pata kwa bei ya punguzo 60,000/= tu badala ya 100,000/=

0738366939 or 0679029498 call /txt

0657229723 whatsapp


56f03966687475b834defaf1654b97c9.jpg


e1dbe8df7df01272428e35faff91eb7a.jpg
 
Ni za kuchajisha? Au zinatumia betri?

_ where ever you are remember me_
 
Nahitaji moja mkuu. but niambie make yake ni ya campuni gani?
Dz 09 hawajabase ktk specific platform ina support android na IOS (iphone)..
Unaweza ni PM au nichek kwa contacts
 
Mkuu, weakness ya hizo saa ni kwamba option ya whatsapp, notifier,browsing ni hazifunction na hata browser ikifunguka inauwezo wa chini sana maana ni za kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo SAA zako mkuu ni fake! Tunataka za Samsung au Apple, campuni yoyote inayojulikana, sasa SAA zako hazina hata jina! Yaani Androids tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ashakwambia saa zake anauza 100,000 kama wataka galaxy gear unajua bei yake siyo chini ya laki nne.
Yani ni kama smartphone, kuna samsung, kuna iphone, kina tecno kuna blackberry kuna itel yani ni uamuzi wako kutokana na mfuko wako kisa unataka samsung haimzuii mtu kuuza tecno
 
Zinafanya kazi boss labda uliwahi kukutana na hizo ambazo fake...be wise ktk choice
Mkuu kM ni hizo ulizopost pic hapo nina uhakika na ninachokisema. Yaan ni mfano tu wa cm ya kichina ya line mbili. Hebu post ukiwa umefungua whatsapp au web browser yaie tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo SAA zako mkuu ni fake! Tunataka za Samsung au Apple, campuni yoyote inayojulikana, sasa SAA zako hazina hata jina! Yaani Androids tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama hauhitaji ni vizuri ukakaa kimya than kuongea vitu vya hovyo...una display ubongo wako unanini to the public. By the way visit maduka ya samsung kanunue Gear yao haulazimishwi uwe na hii...
Thanks
 
Back
Top Bottom