SMARTWATCH BEI CHEE

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,052
49,689
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo:

-Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT"
-Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card.
-Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card.
-Ina support Bluetooth earphones so unaweza play music.
-Unaweza kupiga na kupokea simu, kutuma SMS na kusoma SMS.
-Unaweza kuingia baadhi ya apps kama Facebook na WhatsApp ukiwa umeweka memory card na kuwasha data.
-Inahesabia hatua ulizotembea na umbali uliotembea kwa siku.
-Inaonesha calories burnt kwa siku.

Pia ukiunganisha kwa Bluetooth na Simu yako utapata Notifications yoyote ikiingia kwenye cm yako.

Pia unaweza kupiga simu na kupokea simu kwa Bluetooth kutoka kwenye simu yako.

Pia unaweza kuplay music kwa Bluetooth na control camera kwa Bluetooth pia.

Inachajiwa kwa USB na inakaa na chaji kwa siku 2 hadi 3 kutokana na matumizi yako.

Bei ni Tsh Elfu 60 tu isio na camera na Tsh Elfu 75 tu yenye camera.

Pia ninazo fitness tracker za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti. Ukiwa na WhatsApp nicheki 0758095750 nitakuonesha zaidi.

Nipo Ubungo DSM karibuni. Nicheki kwa namba: 0758-095-750
-2106156638328034219.jpeg
-2106156638-1793320142.jpeg
FB_IMG_1538149754449.jpeg
-848535768466316806.jpeg
-2106156638-2140075904.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom