donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kaka, siongei vitu vya hovyo ila nadhani si busara kymficha mtu juu ya uhalisia wa bidhaa zako. Kwa mfano ktk advert yako mimi naweza nikawa nimevutiwa na feature ya whatsapp tu lakini nitakaponunua na kukuta haifunction tayar nitakua disappointed. So unapotangaza biashara kua muwazi watu wajue what and what not to expect. In real sense smart watch for 60k kweli?Mkuu kama hauhitaji ni vizuri ukakaa kimya than kuongea vitu vya hovyo...una display ubongo wako unanini to the public. By the way visit maduka ya samsung kanunue Gear yao haulazimishwi uwe na hii...
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app