Saa ya Fisadi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya Fisadi mkuu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Firigisi, May 1, 2012.

 1. F

  Firigisi Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Jamaa mmoja aliota amekufa na kuchukuliwa na malaika hadi mbinguni. Alipofika mapokezi ya mbingu akashangaa kuona ukutani kuna saa nyingi sana, akamuuliza malaika wa mapokezi “hizi saa za nini? Malaika akamwambia “hizo ni roho za watu, ukiona inatembea ujue mtu huyo anafanya dhambi, na ukiona inaongeza mwendo (speed) ujue mtu huyo anafanya dhambi mbaya sana”.

  Jamaa akauliza “mbona ile imesimama?malaika akamwambia ” hiyo ni ya mtakatifu mmoja, yeye huwa hafanyi dhambi kabisa”.

  Kwa udadisi zaidi jamaa akauliza ” Saa ya yule fisadi mkuu katika nchi yetu iko wapi? Malaika akamwambia “hiyo inakaa ofisini kwa Mungu mwenyewe” Kwa mshangao mkubwa jamaa akauliza “kwa nini?
  Malaika akamjibu “hiyo Mungu anaitumia kama feni…
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Duuuu!!
   
 3. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tehe tehe tehe, nimecheka kweeeliii
   
 4. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaa!itakua hiyo saa haina kioo,afu kubwa sana!..wachen kumtania Mungu!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyo fisadi atakuwa mwamvi ama rosti?
   
 6. c

  chief72 JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mamaaaaaa.....mungu kumbe anasikia joto
   
 7. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Makuuubwa
   
 8. B

  Braza Loy New Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh!,,,hayo sasa masihara....
   
 9. y

  yaveni Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Eeeh, mbona nchi yetu tear and wear itakuwa kubwa sana speed siyo mchezo wa mishale ya saa.:wave:
   
 10. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...