Hao ndio wale wanaojifanya kupenda dalili umeziona na wewe bado upo tu eti unampenzi, endelea na mambo yako acha kusumbuka na mtu umekutana nae ukubwaniSijui mnawezaje kumng’ang’ania mtu ambaye ameshaona hutoshei kuwa naye? Tujithamini jamani
Inasikitisha sana….kilamtu anamachaguo yake ..mtu kaona hufai means kampata anaemfaa…ivo waachie amani wenzioHao ndio wale wanaojifanya kupenda dalili umeziona na wewe bado upo tu eti unampenzi, endelea na mambo yako acha kusumbuka na mtu umekutana nae ukubwani
Man down, I repeat man down... Iko wazi kama antena yako juu ya batiWadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Una miaka 14Wadau naomba ushauri wenu.

Huyo ana mwanaume mwingine swali ni kwamba "kama alikublock kwa bahati mbaya Kwa nini hakuwaza kukupigia?"Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Wew ni ngani? Utanitoshea nikutafutepo?Sijui mnawezaje kumng’ang’ania mtu ambaye ameshaona hutoshei kuwa naye? Tujithamini jamani
🥸Wew ni ngani? Utanitoshea nikutafutepo?
Kuna watu hawana huruma, mwenzao ananigwa wao wanachekaKuna kitu kinaniniga wallah.
Unamuhitaji kiasi gani? Kama unajiona hujiwezi kwake basi hakuwa kwa Mwanaume huyo ni kweli alikuwa kakublock bahati mbaya,kama unajiweza vizuri bila yeye hapo huna ushahidi wa kumpa tuhuma,kuwa mpole alafu tafuta ushahidi,fanya upelelezi wako kimya kimya. Fanya Maamuzi baada ya hapo. Pole sana bro najua hujalala.