ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Uturuki yakubali kulipa dola bilioni 2.5 ($2.5bn) kwa ajili ya kununua mfumo wa anga wa Russia S400.
Dili hilo linahusisha ununuzi wa mitambo hiyo na pia teknolojia iliyotumika kwa uturuki(technology transfer) .Lakini mpaka sasa muda wa kutia saini dili (makubaliano) hilo bado haujawekwa wazi.
Dili hilo litahusisha ununuzi wa mitambo miwili ya S400 kwa Uturuki.
Mitambo hiyo ya S400 itatengenezwa Urusi na kupelekwa hadi Uturuki na pia kutokana na dili hilo Uturuki itaruhusiwa kutengeneza (assemble)mitambo mingine miwili ya aina hiyo wao wenyewe.