jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,379
- 4,899
- Thread starter
- #21
tena sana tu! mwanamke, mtoto na mpambe mwingine walikuwa wameruhusiwa kupita lakini wakagoma eti hawawezi kwenda bila Padri-Tapeli. eti anakuja kufanya campaign za kisiasa Rwanda? sasa ndio uje kwa kutumia passport ya nje na viza ya kitalii? ni lini watu watajuwa ya kwamba nchi ya Rwanda ni yakisheria? juzi tumemtimua mama mwingine wa Kizungu kwa kuja na viza za kiutalii na kuanza kutaka kusimamia kesi za materrorist, Padri nae eti wacha na mimi nipime maji, utawazaje uraisi bila hata ya kuelewa mambo madogo ya kisheria kama haya? damu zitawatesa!
wazee wa blah blah kama kawaida yenu, hizo theory zako umezitoa wapi tena?
1. Habari inasema
"As we were preparing to embark, we were greatly surprised to be given the message by Kenya Airways' agents that Rwanda's government had just denied us the right to board this flight and the right of entry to Rwandan territory." Unaelewa maana ya "us" au na wewe hujui kingereza? Hizo habari zako kuwa aliyekataliwa ni huyu priest peke yake wewe umezitoa wapi mwenzetu?
2. Padri ni raia wa nchi gani unavyojua wewe? Ana passport ya nchi gani? Na ni wapi habari inasema ana visa ya kitalii?
Tufanye uzushi wako ni kweli: Kwa nini serikali ya Rwanda ipaniki na kumzuilia kenya? Kama mtu anayo visa ya kuja Rwanda si angeingia kwanza Rwanda na ndipo hapo wamkamate kama atakuwa anafanya shughuli ambazo ziko nje ya visa ya kitalii? Uende shule kijana bado umri wako unakuruhusu!