Rwandan Government Refuses Entry to a 7-month old Rwandan baby returning from exile.

Shangaa mkuu,kimsingi paka na Watusi wenzie hawana chao Rwanda iwapo wataruhusu vyama vya siasa vifanye kazi za kisiasa kwa ukweli! Rejea jinsi mama victoire ingabire anavyonyanyaswa na serikali ya Watusi ni kwa sababu alikuja Rwanda katika sura ya upinzani halisi na angeruhusiwa kugombea tu,paka saahizi angekuwa jela. Hata padri Nahimana,amezuiliwa kuingia Rwanda kwa sababu paka hawezi kushindana nae maana ndani ya uchaguzi paka atagaragazwa kama mende. Nashangaa ile %97 iliyomuunga mkono kugombea kwa mara ya tatu IPO wapi maana angejivunia hiyo kama mtaji wake wa kumshinda Nahimana kwenye uchaguzi.
Huyu padri kawashika pabaya, chama kinaundwa na vijana kwa hiyo gia ya kuwasema ni genocidaires haipo, halafu kimejaa watutsi na wahutu kwa hiyo kuwasingizia ukabila nako haiwezekani. Vijana wenyewe wamekulia nje ni wasomi watupu sio vilaza, wanapiga hoja balaa! Ndio maana wamewazuia juu kwa juu wasiingie nchini. Wakiingia itakuwa tabu kuwazuia usajili kwa kuwa hakuna kisingizio chochote kwao. Wakisajisajili kifuatacho mzee wa 97% atapata namba za viatu!
 
ninayemjibu ndie aliyesema kuwa yeye ni mtutsi, refer kwenye majibizano yake mimi na yeye badala ya kudandia treni kwa mbele kama kawaida yako! Kwani lazima nikijadili na mtu wewe uingilie? Halafu unasema nibaki huko huko wapi? Sasa hivi niko wapi? :D
wanawasiwasi sana ahahahha, si ajabu wote ni mto mmoja anatumia ID fofauti.
 
Huyu padri kawashika pabaya, chama kinaundwa na vijana kwa hiyo gia ya kuwasema ni genocidaires haipo, halafu kimejaa watutsi na wahutu kwa hiyo kuwasingizia ukabila nako haiwezekani. Vijana wenyewe wamekulia nje ni wasomi watupu sio vilaza, wanapiga hoja balaa! Ndio maana wamewazuia juu kwa juu wasiingie nchini. Wakiingia itakuwa tabu kuwazuia usajili kwa kuwa hakuna kisingizio chochote kwao. Wakisajisajili kifuatacho mzee wa 97% atapata namba za viatu!
,wazee wa jenosaidi ni balaa,hata ile %97 yao hawaiamini mbele ya padri Nahimana.
 
Umeleta theory zako ambazo hazina uthibitisho nimekuomba ushahidi unaleta blah blah zingine. Maswali yangu ni rahisi tu:
1. Umesema aliyezuiliwa ni priest peke yake, habari inasema wamezuiliwa wote. Nimekuomba ushahidi wa hiyo ya kwako umeshindwa!
2. Umezusha kuwa wana passport za nje na visa za kitalii, umeombwa ushahidi umeshindwa.

Sasa hizo sheria mpya unazozungumzia ni zipi?
Hajuiii alivhoandikaaaaa msamehee nimemuulizaa piaaa unakomaa napt za nje unajua wanyarwanda wakiendakwaoo wanarudii NA PPT za nje walipotoka katulia..... ALAFU MNATAKA KUTULETEA MAMBOYA RWANDA TANZANIA LOH NEVER
 
Kwa faida ya wengine ni kwamba yule mama mwenye mtoto mbali na kua ni mnyarwanda pia ana uraia wa Canada na aliku na visa ya Rwanda. Yule padri nae passport yake ya Rwanda iliisha muda wake mwaka 2012 na aliomba renewal na alishalipia kabisa lakini ubalozi wa Rwanda Paris walimwambia akifika Rwanda atakuta passport yake ikiwa tayari, ikumbukwe huyu naye ana uraia wa France.kwa vile siku ya safari yao ilikua imebaki siku chache na ubalozi wa Rwanda ulikua kama umegoma kumpa viza kwa kutumia ppt yake ya france Kaamua kuomba viza ya utalii kutoka ubalozi wa kenya inayomruhusu kitembelea Kenya, Uganda na Rwanda. Yule wa tatu nae alikua anatokea South africa anakosoma miaka ya nyuma alikua anaishi Malawi kama mkimbizi na alikua na viza ya Rwanda. Wote walikua wana nyaraka zote halali zinazowaruhusu kuingia Rwanda otherwise wasingekubaliwa kupanda ndege kule walikoanzia safari zao (France, Canada na S.A) serikali ya Rwanda kwa sababu wanazozijua wao waliwaambia KQ kua wasiwapakie kwenda Kigali. NB: ni muda sasa serika ya H.E Paul Kagame ikubali kupata mawazo mapya/kukosolewa.
 
1480538858417.jpg
 
Umeleta theory zako ambazo hazina uthibitisho nimekuomba ushahidi unaleta blah blah zingine. Maswali yangu ni rahisi tu:
1. Umesema aliyezuiliwa ni priest peke yake, habari inasema wamezuiliwa wote. Nimekuomba ushahidi wa hiyo ya kwako umeshindwa!
2. Umezusha kuwa wana passport za nje na visa za kitalii, umeombwa ushahidi umeshindwa.

Sasa hizo sheria mpya unazozungumzia ni zipi?
OMG! I wish I had enough time to refute your lies, kawadanganye kina JustDoItNow anyway, your priest is a joke! na kutokana na akili zake nnavyoziona Rwanda hatoiweza kaa ukilijuwa hilo, kwanza kaanza vibaya lakini ashukuru kapata bahati karudi alipotoka bila kufungwa, uwezi ukachezea sheria alafu watu wakuchekee tu...
 
Kwa faida ya wengine ni kwamba yule mama mwenye mtoto mbali na kua ni mnyarwanda pia ana uraia wa Canada na aliku na visa ya Rwanda. Yule padri nae passport yake ya Rwanda iliisha muda wake mwaka 2012 na aliomba renewal na alishalipia kabisa lakini ubalozi wa Rwanda Paris walimwambia akifika Rwanda atakuta passport yake ikiwa tayari, ikumbukwe huyu naye ana uraia wa France.kwa vile siku ya safari yao ilikua imebaki siku chache na ubalozi wa Rwanda ulikua kama umegoma kumpa viza kwa kutumia ppt yake ya france Kaamua kuomba viza ya utalii kutoka ubalozi wa kenya inayomruhusu kitembelea Kenya, Uganda na Rwanda. Yule wa tatu nae alikua anatokea South africa anakosoma miaka ya nyuma alikua anaishi Malawi kama mkimbizi na alikua na viza ya Rwanda. Wote walikua wana nyaraka zote halali zinazowaruhusu kuingia Rwanda otherwise wasingekubaliwa kupanda ndege kule walikoanzia safari zao (France, Canada na S.A) serikali ya Rwanda kwa sababu wanazozijua wao waliwaambia KQ kua wasiwapakie kwenda Kigali. NB: ni muda sasa serika ya H.E Paul Kagame ikubali kupata mawazo mapya/kukosolewa.
na kwa faida yako na wauza sumu wenzako ni kwamba, PUNGUZENI UZUSHI! kwanza mtoto mwekeni pembeni kwani hausiki ila ametumiwa kama ngao na hao wahuni! nilishasema Mama, mtoto na yule mpambe mwingine wote walikuwa wameruhusiwa kuendelea na safari zao lakini kama kawaida sio mara ya kwanza padri-tapeli Nahimana kudanganya hadharani! mwaka huuhuu mwezi wa kwanza aliidanganya BBC eti kaomba Passport ya Rwanda kupitia ubalozi wa Rwanda nchini Belgium wakati ulikuwa ni uongo kwa mujibu wa ubalozi! pili ni kwamba ukweli wa mambo ni kwamba kaomba passport ya Rwanda 19/10/2016 na kwa sababu ingechukua miezi mitatu alikuwa anajuwa itamfikia january 2017 sasa kwa nini alienda kuwatapeli wakenya kwa kutumia passport ya Ufaransa? aliona atacheleweshwa uchaguzi? haiingii akilini kwa mtu aliyeanza kujinadi tangu 2014 kuanza kutafuta vitambulisho leo, nyie bana acheni kelele kamanda wenu kajiingiza mwenyewwe kwenye kumi na nane za watu, hivi kesha kwenda na maji labda asubili uchaguzi wa msimu uleeeee
 
OMG! I wish I had enough time to refute your lies, kawadanganye kina JustDoItNow anyway, your priest is a joke! na kutokana na akili zake nnavyoziona Rwanda hatoiweza kaa ukilijuwa hilo, kwanza kaanza vibaya lakini ashukuru kapata bahati karudi alipotoka bila kufungwa, uwezi ukachezea sheria alafu watu wakuchekee tu...
Anayedanganya ni yule anayemwaga blah blah, either jibu maswali au wacha kuleta theory zisizo na mashiko!
 
sasa unataka nikujibu maswali gani? kwamba immigration haziruhusu utapeli? au unataka picha za ppt zao? Interahamwe mna tatizo la kulogana na habari za kizushi! wahusika wameshaona wameharibu mambo hivi wameamuwa kurudi kwao kwenda kujipanga upya lakini wewe chuki zako zinakufanya uendelee kupiga kelele, nyie bana, dah!
 
we wa hovyo kweli! sasa unataka nikujibu maswali gani? kwamba immigration haziruhusu utapeli? au unataka picha za ppt zao? Interahamwe mna tatizo la kulogana na habari za kizushi! wahusika wameshaona wameharibu mambo hivi wameamuwa kurudi kwao kwenda kujipanga upya lakini wewe chuki zako zinakufanya uendelee kupiga kelele, nyie bana, dah!

Immigration ipi iliyowazuia wakati wamezuiwa kupitia diplomatic back channels kati ya Kigali na Nairobi? Si wangezuiliwa kuingia Rwanda? Mnajua fika kuwa wangefika Rwanda msingeweza kuwapeleka kokote kwa kuwa hawa ni RAIA WA RWANDA! Hivi wewe f.ala kiasi gani kumzuia mnyarwanda asiingie Rwanda kwa kuwa eti passport yake (YA RWANDA) ime expire? Mbona hawa ndugu zenu tuliowatimua operesheni kimbunga walikuwa na document zipi kuzidi uzito wa hawa ?
 
lol! mimi ni f.ala kiasi cha kutambua utaratibu wa kuishi mjini wewe! kwani waliotimuliwa na operesheni kimbunga ulitaka tuwatupe baharini kama alivyofanya mkwere? tuliwaweka kando tukaanza kuwachuja, tuliokuta ni wanyarwanda wa kweli tuliwaintegrate na waliosingiziwa tuliwakabidhi UNHCR! upo hapo? uwa unatatizo lakuchukulia mambo juu juu bila ufahamu huku ukiweka uinterahamwe mbele ya vyote! kwa nani kakataa kuwa wao sio wanyarwanda? kwanza mi siongelei hao wengine waliosusa kuendelea na safari! naongelea padri-tapeli, sasa wanyarwanda ni bora saaana kiasi cha kutotimiza sheria? hivi unajuwa kuwa alikuwa amekubaliwa Ppt ya Rwanda ubalozini ufaransa? ilikuwa imfikie January 2017! je unajuwa kabla ya kutaka kwenda Rwanda tokea mwaka 2014 alikuwa keshatangaza kwenda kugombea uraisi Rwanda(officially)? sasa kitu gani kilichokuwa kimemzuia kuomba Ppt mapema na kushtukia dakika za mwisho? ni akili ndogo tu! kwa hiyo unaona wakenya wajinga? tulichokifanya ni kuwaambia hatumtaki tapeli huyo, wakaangalia wakalidhika wakamtimua kwisha habari! shauku ya uchaguzi imemponza, akasubili Ppt yake January! mambo madogo kama haya yanakushinda kuyaelewa je wafuasi wako kama kina JustDoItNow ndio itakuwaje? chuki mbaya aisee, inayeyusha hadi akili ya kufikiri? jirudi jMali bado unawakati...
 
Sasa ndio unadhihirisha u.f.ala wako, kwa hiyo mtu ambaye haukatai kuwa ni mnyarwanda mwenzio unataka awe na passport ili arudi nyumbani? Tufanye umeshinda..:D
:D
 
lol! it seems you always like to have a final word! ulitaka arudi kwa kutofwatisha sheria? I am not going to give you that chance because your guy is a fraud! jMali ujinga na chuki vinakuharibu sana! hebu hukohuko uliko, tafuta wale wazamiaji wa SA wakuambie mambo yakiharibika wanakimbilia wapi? ni ubalozini hakuna kwingine! na pale lazima usubili documents lasivyo hata ndenge hupandi! hayo mambo madogo hata JustDoItNow anayajuwa nafikiri ndio maana kakaa kimya, sasa huyu ndugu yako ye kajiona mjanja akaamuwa awadanganye wakenya, kuona orodha ya wanaokuja Kigali tukaona jina la tapeli wako, sasa si tufanyeje? tulichokifanya ni kuwaambia wakenya padri kafika hapo kimagendo, kazi kwao! sasa we unaowashinda maarifa mbona haukumpandisha ndege kinguvu? hivi yuko kwake anasikilizia nauli na mda aliopoteza!
 
Raia halali wa nchi anaambiwaje kuwa anarudi kwao kimagendo? Hivi watu huwa wanazamia ndani ya nchi au nje ya nchi? Wewe utakuwa ndio wale mnaochungulia wake zenu..
 
wanazamia nje ya nchi! kimagendo kwa sababu hakusubili utaratibu wa ubalozini! Ppt alikuwa kakubaliwa lakini ndugu yako kungojea kaona kazi, akajiona anaakili akatumia uraia wake mwingine kwenda kuwabambikizia wakenya, ndio maana wakamtimua baada ya kujuwa ukweli! duh ila hiyo kali kumchungulia mkeo? umenivunja mbavu!
 
Back
Top Bottom