Rwandan Government Refuses Entry to a 7-month old Rwandan baby returning from exile.

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,349
2,000
tena sana tu! mwanamke, mtoto na mpambe mwingine walikuwa wameruhusiwa kupita lakini wakagoma eti hawawezi kwenda bila Padri-Tapeli. eti anakuja kufanya campaign za kisiasa Rwanda? sasa ndio uje kwa kutumia passport ya nje na viza ya kitalii? ni lini watu watajuwa ya kwamba nchi ya Rwanda ni yakisheria? juzi tumemtimua mama mwingine wa Kizungu kwa kuja na viza za kiutalii na kuanza kutaka kusimamia kesi za materrorist, Padri nae eti wacha na mimi nipime maji, utawazaje uraisi bila hata ya kuelewa mambo madogo ya kisheria kama haya? damu zitawatesa!

wazee wa blah blah kama kawaida yenu, hizo theory zako umezitoa wapi tena?

1. Habari inasema
"As we were preparing to embark, we were greatly surprised to be given the message by Kenya Airways' agents that Rwanda's government had just denied us the right to board this flight and the right of entry to Rwandan territory." Unaelewa maana ya "us" au na wewe hujui kingereza? Hizo habari zako kuwa aliyekataliwa ni huyu priest peke yake wewe umezitoa wapi mwenzetu?
2. Padri ni raia wa nchi gani unavyojua wewe? Ana passport ya nchi gani? Na ni wapi habari inasema ana visa ya kitalii?
Tufanye uzushi wako ni kweli: Kwa nini serikali ya Rwanda ipaniki na kumzuilia kenya? Kama mtu anayo visa ya kuja Rwanda si angeingia kwanza Rwanda na ndipo hapo wamkamate kama atakuwa anafanya shughuli ambazo ziko nje ya visa ya kitalii? Uende shule kijana bado umri wako unakuruhusu!
 
vyuma

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
912
500

Duh,aisee,tayari na padri Nahimana mmeshamkabidhi kesi ya genocide? Mnatisha wazee!
 
jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,349
2,000
Si ndio unafiki wako huo. Ukirudi kwenu unawadanganya watz eti unaichukia rwanda. Mnafiki mkubwa wewe.
onyesha comment moja tu niliyowahi kusema naichukia Rwanda. Moja tu! Ukishindwa basi wewe ndio mnafiki.
 
murutongore

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
2,044
2,000
onyesha comment moja tu niliyowahi kusema naichukia Rwanda. Moja tu! Ukishindwa basi wewe ndio mnafiki.
Don't have time to dig up thousands and thousands of you vitriol of Rwanda and our leadership. Everyone here knows that, so don't try to deny it. You OWN it.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,046
2,000
tena sana tu! mwanamke, mtoto na mpambe mwingine walikuwa wameruhusiwa kupita lakini wakagoma eti hawawezi kwenda bila Padri-Tapeli. eti anakuja kufanya campaign za kisiasa Rwanda? sasa ndio uje kwa kutumia passport ya nje na viza ya kitalii? ni lini watu watajuwa ya kwamba nchi ya Rwanda ni yakisheria? juzi tumemtimua mama mwingine wa Kizungu kwa kuja na viza za kiutalii na kuanza kutaka kusimamia kesi za materrorist, Padri nae eti wacha na mimi nipime maji, utawazaje uraisi bila hata ya kuelewa mambo madogo ya kisheria kama haya? damu zitawatesa!
Nduguu zenuwaliokimbilia marekani NA UK wanakuja NA Ppt za Rwanda???
 
vyuma

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
912
500
Nduguu zenuwaliokimbilia marekani NA UK wanakuja NA Ppt za Rwanda???
Shangaa mkuu,kimsingi paka na Watusi wenzie hawana chao Rwanda iwapo wataruhusu vyama vya siasa vifanye kazi za kisiasa kwa ukweli! Rejea jinsi mama victoire ingabire anavyonyanyaswa na serikali ya Watusi ni kwa sababu alikuja Rwanda katika sura ya upinzani halisi na angeruhusiwa kugombea tu,paka saahizi angekuwa jela. Hata padri Nahimana,amezuiliwa kuingia Rwanda kwa sababu paka hawezi kushindana nae maana ndani ya uchaguzi paka atagaragazwa kama mende. Nashangaa ile %97 iliyomuunga mkono kugombea kwa mara ya tatu IPO wapi maana angejivunia hiyo kama mtaji wake wa kumshinda Nahimana kwenye uchaguzi.
 
mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,486
1,500
wazee wa blah blah kama kawaida yenu, hizo theory zako umezitoa wapi tena?

1. Habari inasema
"As we were preparing to embark, we were greatly surprised to be given the message by Kenya Airways' agents that Rwanda's government had just denied us the right to board this flight and the right of entry to Rwandan territory." Unaelewa maana ya "us" au na wewe hujui kingereza? Hizo habari zako kuwa aliyekataliwa ni huyu priest peke yake wewe umezitoa wapi mwenzetu?
2. Padri ni raia wa nchi gani unavyojua wewe? Ana passport ya nchi gani? Na ni wapi habari inasema ana visa ya kitalii?
Tufanye uzushi wako ni kweli: Kwa nini serikali ya Rwanda ipaniki na kumzuilia kenya? Kama mtu anayo visa ya kuja Rwanda si angeingia kwanza Rwanda na ndipo hapo wamkamate kama atakuwa anafanya shughuli ambazo ziko nje ya visa ya kitalii? Uende shule kijana bado umri wako unakuruhusu!
habari inasemaje? habari yenyewe ndio tatizo zaidi, kelele tupu ooh serikali ya Rwanda hatuipati kwenye simu... wako busy! wana kazi za muhimu za kufanya kwanza, haya kawaulize wenyewe kilichowafanya wabounce, kama kawakosa viongozi wa serikali basi mwandishi wako kashindwa hata kuwauliza kilichowasibu wahusika! yani wewe ukiona habari inayoisema Rwanda vibaya yani ndio baaasi, hata mwisho wakusoma hautafakari kama kweli mda wako umeutumia vizuri? wenzako washarudi makwao, hivi washajuwa maana ya kutii sheria!
sasa kamahauelewi uraia wake, hii habari imekusaidia nini? timizeni sheria! hii ni Rwanda mpya.
NB: kizuri zaidi, hakuna mnyarwanda aliyewagusa, sasa wakenya wangekubali kufanya kinyume cha sheria? EATV inamaana yake! si tumewakumbusha tu ndugu zetu wakenya kuhusiana na utaratibu wa kisheria wakaangalia wakaona tuna make sense ndio kuwaambia hata ile kulala Transist nayenyewe ni kinyume na sheria, hairuhusiwi! hivi tunaongea wengine washafika makwao.
hata ukiwa mnyarwanda lazima utimize sheria jMali !
 
Umeleta theory zako ambazo hazina uthibitisho nimekuomba ushahidi unaleta blah blah zingine. Maswali yangu ni rahisi tu:
1. Umesema aliyezuiliwa ni priest peke yake, habari inasema wamezuiliwa wote. Nimekuomba ushahidi wa hiyo ya kwako umeshindwa!
2. Umezusha kuwa wana passport za nje na visa za kitalii, umeombwa ushahidi umeshindwa.

Sasa hizo sheria mpya unazozungumzia ni zipi?
 
jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,349
2,000
Don't have time to dig up thousands and thousands of you vitriol of Rwanda and our leadership. Everyone here knows that, so don't try to deny it. You OWN it.
By "everyone here" i think you mean these thousands of day-old profiles waxing lyrical about Kagame and nothing else....:D. What amazes me though is that you and them usually have no proof of whatever you accuse me of! I mean if you have to dig "thousands and thousands" of my comments doesn't that goes against the very thing you are accusing me of?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom