jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,379
- 4,899
- Thread starter
- #61
wamemtimua wakenya au nyinyi mmekataa asiende Rwanda? Umeshaanza kubadilisha moja iwe mbili against facts. Ndio unamchungulia mkeo, we umeona wapi mtu anaambiwa eti anazamia nchini kwake?nje ya nchi! kimagendo kwa sababu hakusubili utaratibu wa ubalozini! Ppt alikuwa kakubaliwa lakini ndugu yako kungojea kaona kazi, akajiona anaakili akatumia uraia wake mwingine nakwenda kuwabambikizia wakenya, ndio maana wakamtimua baada ya kujuwa ukweli! duh ila hiyo kali kumchungulia mkeo? umenivunja mbavu!